Red-hot: Jennie Garth also showed off her sensational figure in a peplum dress of the same hue, featuring a racy zipper all the way up the front"
Hapa kama mnavyo waona (L) Sporah and Jennie" yupi kachuja yupi !!
Kusema ukweli Mtanzania nilikuwa na muwazia ni Sporah kabla hata sijajua nae aliivaa hii nguo in October kabla ya Jennie aloivaa leo hii November,Ama kweli nafaaje mie Flora Lyimo Fashion Police, " na kusema kweli wote nguo imewapendeza ila VIATU WOTE WAMEANGUKA"
Viatu rangi zake zimetulia ila ,mitindo ya viatu ndo haiendani na hii nguo kabisa"
Au nyie mwasemaje Nyota zangu ? wacheni majibu yenu kama kawaida na yasiwe yaseendana na mavaazi yao tafadhali"
No comments:
Post a Comment