Cake zilikuwa za kutosha mbili haswaaa''' Jamani Im Blessed with Good Friends even Bad one is ok ''that is the way Maisha yanavyojichanganganya'' But siogopi kabisa kupoteza niliyoyaunda .Ila nisiyapoteze kwa sababu ya Mtu au watu kuweka fitina na mawivu yao ..si mchezo huwa nakuwaga na hasiri fulani ambazo zinanifanya nipige mpaka mikono na miguu ichoke na kushindwa kumpiga'' Yani nashomshukuru Mungu ni kwamba sasa nimeshaweza kukaa na kuwapotezea maana hawana Lolote'' na mwisho wasiku naweza msukuma Mtu kumbe anayake na hapo hapo mauti kumfikia na Mimi kujikuta nikichinia gela'' No I will Pray badala ya Kupigana wala kugombana now'' Thanks God kwa kuniongoza kuweza kujiepusha na hilo'' My Friends wenye kuchonganisha watu ''Jueni kuna Mungu na malipo ni hapa hapa Duniani ''Mbinguni ni kusafisha Nguo za madhambi yako tu''Ruwa Mangii
My DDF' Yani Huyu ndie Mtanzania wa kwanza hapa London kumfaham na pia nilitambulishwa kwake na huyu my Ex Mzungu hapo pichani juu'' Yani She is the Best Friend Mtanzania -UK Nilishawahi kumpata maishani mwangu'na Mtoto wetu Junior ''Sitokaa niwaondoe pale nilipowaweke katika Moyo wangu on that very first time ' Milele ,hadi Kifo '' Na Mungu ndie Mshaidi wa Kila kitu katika Mapenzi yetu '' Yani hakuna atakae weza kuichukua nafasi yenu Kamwe''God Bless and Remember How Much I love nyie''Busuuuu Mingi ALways ''
Hahahaa'hapa ni My first Birthday ever 'in Mombasa ndiyo nimetimiza miaka 19''Happy birthday Miss Florida'' Walikuwa wananiita Miss Florida kwasababu nilikuwa nimeshinda shindano la la kucheza Chakacha kwenye hii night Club inayoitwa Florida Night Club'' Yani Bidii yako ndiyo Ufunguo wako wa maendeleo katika maisha yako'' God is Great '' Yani kweli hapa ungeniambia nitakuja kujikuta nimekaa at my own Flat in London nakuandikia hii habari ya miaka yangu arobaini '' Nisingekukubali kabisa yani ningekuchekelea sana'' but here I AM''God is Graet
Mastaa wakutana na Tabia zao zikifanana utajua tu'Flora Lyimo aka Mbuta Nanga''and Mboni of The Mboni show ndani ya Flora Lyimo Shop in London Oxford Street mwaka huu 2014'' God is Graet ''Thanks all for your love and support'' Nyote mnamkubali Flora Lyimo nakumpa support zenu mnajijua''Please jueni hakuna zawadi mnayoweza kumpa Mtu kama hiyo mnayo nipa Mimi Sasa Hivi '' I love you and I will always Support you where I can'' Be Bless Always''
Mwaka jana 2013 My Birthday at my Blessing Home'' and my First Mbuta Nanga Cake'' Love you my Girls '' Thanks for been Marafiki wa Ukweli '' I will always Love Nyie '' Stay Bless Always''Na wale wengine wote ambao hawapo hapa Pichani mnajijua ''I love nyie Mingi mingiii''And I cant wait to party hard na nyie again soon ''
Hahahaaa''Jamani niwacheni tuuuu'yani nimetoka mbali na Hela yangu ukiona naila na nikakushirikisha ,,Aminia Ni Ishara kubwa sana ya Upendo nilio nao ,,na Ningependa niweze kuwashirikisha marafiki wote na wale wote wenye mapenzi mema na mimi na wenye kunitakia Mandeleo ya Juu tena Juu zaidi ''lakini uwezo wakufanya hivyo unashindikana'' sababu nyingi zikikuwepo za Umbali tulionao ''Ila God knows one day it can happen'' Aminiaaaaaaaa''
Kwa kweli nawezaaa' Flora Lyimo ndiyo kafuma hivi viswaga vya Mtoto''yani Im so Proud of myself kwa kweli'' THANK YOU MY MAMA KWA KUNIFUNDISHA KUFUMA NA MAPISHI MOTO MOTO ,BILA KUSAHAU BIASHARA '' YANI KILA NINACHOKIFANYA LEO GOT IT FROM MY MAMA''
Flora Lyimo Designes &Trades London Oxford Street '' Left is Da'Mboni of The Mboni Show''and Right is the CEO mwenyewe 'Flora Lyimo Fashion Police Blog, The Market Trader,Photographer ,Blogger and Fashion Designer '' Yani ukiweka hayo yote utapata' THE LEGEND'' KANTANGAZEE''
Basi ni hayo tuu machache kwa leo msisahau kuja tena kwa mambo moto moto and Flora Lyimo How to look sexy at home in her 40th is coming soon '' Be Bless Always'' I love nyie Mingi mingiii''mabusuuu''
USHAURI WANGU KWENU MKUBWA NI HUU''
Yani kuna Mambo mengi sana nimejifunza kutokana na Urafki wangu na my Best Friend Kipenzi cha Moyo wangu ''she is and she will always will'''' Sasa basi chakuweza kuwashaurini my dears Leo nikiwa hai hapa Duniani na nikiwa ndiyo nimeonja miaka yangu arobaini '' ni kwamba ''Msije hata sikumoja mkatoa maneno kwa rafiki mmoja na kupeleka kwa rafiki mwingine'' Yani hata kama utayasema kwa mazuri kuna marafiki wanafiki wao wapo kukuchonganisha na Marafiki au rafiki yako aliekukuta nae'' so jiepusheni sana kwa hilo '' msivuke mipaka zingatieni sana maneno yakusema kwa marafiki wenu 'Yani Mimi mwenzenu nilijifunza na bado nakomaa na kujifunza '' usimuamini rafiki yoyote'' Muamini Mungu peke yake'' Pili Mkiwa marafiki na Rafiki yako wa kike'' Mwanamke kwa mwanamke'' Ikiwa mmoja mme wake au Boyfrind wake kakutaka kimapenzi ''USIMUAMBIE HUYO RAFIKI YAKO KABISA'' WEWE MKATAZE HUYU MWANAUME WAKE'' NA AKIZIDI BASI 'AJUE KUNA KIPINDI ATAKAMATWA MWENYEWE AKIKUTONGOZA'' AND YOU KNOW WHAT WILL HAPPEN'' IS THAT ''ITATEGEMEA NA RAFIKI MWENYEWE''NI HAYO TU ''MENGINE NIKUMUACHIA MUNGU '' KWANI YEYE NDIE HUONA KILA KITU NA VILE VILE MUAMUZI WA KILA KITU'' MY FRIENDS'' MIAKA HII AROBAINI ''NIMEJIFUNZA MENGI SANA''NA NDIYO MAANA NAONA NI VIZURI KUWANONG'ONEENI KIDOGO ILI MKAE MKIJUA'' Jiepusheni na Marafiki wanafiki ,msije mkapoteza Rafiki Wako na Kipenzi chako cha maisha ''sababu ya Rafki mnafiki '''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
HONGERA UMEPITIA MENGI KATIKA MAISHA
ReplyDeleteHabari yako Da Flora, mimi ni mdogo sana kwako but nimejifunza kitu sana kwa hii story yako ya kutimiza miaka arobaini, zamani nilikua nakuchukulia kijuu juu tu na kukuona ka mtu flani usiyejielewa, but today u prove me wrong, very wrong, umepitia mengi yaliyokufanya uwe imara na jasiri Flora..story yako imenifundisha kutokuhukumu mtu yoyote kwa ubaya, nimejua leo kwamba Flora wewe ni mpiganaji, mwanamke jasiri una hofu ya Mungu una mapenzi kwa wengine..nimekupenda na nitaendelea kukupenda..nitakusuport na kukutetea kwa watakao kusema vibaya..fanya vile unavyotaka as long u are happy...
ReplyDeleteAm very proud of you my dear. Nakupendaaa bureeeeeeeeee, angekkuwa mtu mwingine hata asingetusimulia mambo ya nyuma, ndo kwanza angerudisha miaka nyuma na kujifanya kazaliwa hukohuko ulaya!!! mfyuuuuuu wanaomchukia Flora washindwe kabisaaaa.
ReplyDeleteYaanaai honera florah story yako inasisimua i wish ingesambazwza blog nyingu=ine watu wasome hakika kuna mengi ya kujifunza mazuri toka kwa kwako stay blecs
ReplyDeleteNimesoma hadi mwili unanisisimka... tuombee na sie wengine Mungu atuoneshe njia tufikie malengo yetu siku moja.
ReplyDelete