KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 1 November 2012

*IN FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* THE DESIGNER WITH HER NEW HOME WEAR !! FLORA LYIMO WOOL FRAME KWA RANGI ZAKO!! WATANZANIA MPO KWA RANGI ZA BENDERA YETU YA TANZANIA!!!

 The work of my hands,,,hii rangi imenitesa sana kuitafuta madukani yani rangi zingine ni nomaa"

 Happy sports support "kaipendaje Frame yake kwa rangi za team  yake ya  mpira!! 

 This is for you my Son !!! yani aliniambia anampenda mtoto wake sana nae kamnunulia Frame ya rangi ya Team yake ya mpira"na katoa £100 nimtengezee scarf kwa rangi zake" yani it must be love mimi na penda sana ninapokutana na watu wenye mapenzi makubwa na watoto wao "

 The work of my hands" yani mzigo tiyari kwa kuingiza pesaaaaaaaaaaa!!! Ruwa Mangi"

 Wool frame in Tanzanian colour  you can hung it on a wall like this"handmade and design by: Flora Lyimo"
 Hivi ndivyo unaweza ukaiweka ukutani au popote pale unapojisikia kuiweka kwa raha zako"
 Nani kanuna mpaka apewe Frame yenye rangi yake ya mpira!! lol" kweli usichezee mashabiki wa mpira ni hatarii"
 Hahahhahaa this is for you my dear,,pamoja nakutokuwa supporter wao utaipenda tu" lol" 
 The Designer herself " Flora Lyimo showing off her new wool frame"
Cheers all..God is Great i thanks him everyday bila yeye nisingelifika hapa nilipo wala kutarajia kufika ninapotaka kufika bila yeye ni bure kabisaaa...na ni heri niwe nae na anayenipenda kwa dhati na anayeniweka mbele kama ningelipendelea kumuweka yeye" bila hayo yote kwangu ni bure na ni heri kuwa peke yangu kabisa kuliko kuwa na Watu wanafiki nafiki" MPO hapo my dears" Maisha ni kutafuta na siyo kuchongeana na kutafutana" God Bless the World hasa Tanzania yangu maana naona maovu yanyemelea nyemelea Nchi yangu na Watu wake ndio wenyewe kwa wenyewe wanaonyemeleana nyemeleana ,kuchukiana bila sababu badala ya kuungana kupendana na kufanya kazi kwa bidii""
Ruwa Mangi ..I LOVE MY TANZANIA MNO" AND YES BLACK AND WHITE ANY RANGI" HAKUNA MATATA"

No comments:

Post a Comment