KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 20 November 2012

MARMITE OXFORD STREET CHRISTMAS LIGHT'S 2012 ZA WASHWA NA FLORA LYIMO WAS THERE ,KIPICHA NA KI INTERVIEW !!HERE SHE IS ,THE DESIGNER HERSELF ROCKING HER OWN CROCHET HEADBAD" TO ORDER ONE TELL: 07787471024 EMAL:flo1974@btinternet.com
Kusema ukweli hawa wote nao wafaham ni wawili tu ,Robbie Willias na Leona Lewis" (waliopo wawili katikati ) ya picha hii ya wawili wawili" ina mfano ya kwamba Xmas cha mwaka 2012 nicha Wawili Wawili zaidi" Kila mtu na mtue,siyo lazima Muwe wapenzi ila ni lazima ule upeke wa kuwa peke yako unapenguka na kujikuta na mtue"Ruwa Mangi"

 Flora Lyimo .a.k.a. Muke ya African King " hapitwi Mtoto wa Kichagga Mji Mkuu wa Uingereza" Hii ndo raha ya Kuishi London ,siyo unakaa zeeeeee..Huku ukipitwa na Makuu"


 Bring him on" ok ok " This man with that what look like a red trouser'His the one who is responsible  kwa hayo mataa ya Marmite Xmas 2012 hapa Oxford street " Kwa hiyo ukipita yakakudondokea jua ni nani wa ku blamed for it"
 This was that last moment of  count " and  everythin just happen "

 Happy People smile for Marmmite"
Habari ndo hiyoo""Shuguli zimekwisha na muende majumbani kwenu salama,asante kwa kuja and enjoy your Marmite" This is my Shop ,I love to shop here "All my knit & crochet wool i bought them here"John Lewis"
 Hapa mambo bado yani ni maandalizi ya kuwakisha mataa ya Xmas 2012 yanaandaliwa"


 Wooow is that Robbie !!! OMG" Can I have him with Marmite" Mbuta Nanga"

 Hapa Fans wakisubiria mambo ya anze" Marmite ndo hiyo ninayo ni tamuje!!

Was so nice to be there na kupewa marmite za bure ,Mbuta Nanga!!
 You either love it or hate it,and I LOVE IT"

No comments:

Post a Comment