KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 12 January 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE DIARY YA HOME HOLIDAY YANGU IN TANZANIA 2012 -2013 "HAPA NIPO DAR USIKU WA KWANZA!!

Siku ya Kwanza in Dar na kuingia Uwanjani na wenye Mji" Full Kujiachia Rusha Hela ,Rusha Roho ishapitwa na wakati" Ruwa Mangi"
 
Mazuri hayaambiwi tizama!! Si mwingine ni  *Flora Lyimo Fashion Police *na Ben Kinyaiya wa Ukwe"
Flora Lyimo Fashion Police with The One and Only Koffii Olomide!! yani kulikuwa na joto ni balaa..mie nilichemka haswaa"
Rusha Pesa ndo mtindo wa kileo au mwasemaje Nyota za Flora Lyimo Fashion Police""
Tulitokezaje sasa" Na niliwaachia wenye Mji kupigaje Gumzi!! Hhahahaa  Yalaaa Hebu Mfyonze niwasikie " Fyonzeni basi au mnaniogopaa" Mbuta Nanga"
Hebu ona huyu sasa sijui hapo kama kavaa chupi au vipi ,ila kamera ishasema yote!!
Hawa ndo baadhi yawalokuwepo kwa shughuli za kupata UMISS.....YOU KNOW,UMISS ni kazi kweli kweli ,ambayo unaweza ukajikuta wapanda stajini uchi uchi.Mbuta Nanga!!!
Alafu asikudanganye Mtu " Tanzania watu njaa na ujanja wa kuishi kunyemelea Wanaotoka majuu.Uwe Mwanamke au Mwanamme" kama wewe si mjanja aisee utajajikuta Unaolewa Kila kukikucha , la kushangaza ni kwamba ukisha Mkatalia ,utaona mawasiliano hamna na hata ukimpigia Sim hapokei ,Kisa umemnyima hela za Biashara au za kufungua ofisi" Hivi huwa wanadhani kila mtu ni JingaZungu la Majuu ee" Hhahahaaa yani nilirudi Moshi nikadhani nimeepuka Utapeli wa Dar ,kumbe na Moshi ndo mwanzooooo wanakotokea ,then nikasogea Arusha ndo Uwii kumbe ndo Makao makuu" Yesu na Maria " Anyway Msikose kusoma Yalonikuta na nilokutana nayo KIUTAPELI TAPELI" in my Home Holiday Tanzania 2012/2013"
By *Flora Lyimo Fashion Police Blog*
Founder"

4 comments:

 1. Ahahahah chezeiya , tupe mkanda mzima bana husitupunje mautamu , hao mitapeli kina nani?

  ReplyDelete
 2. USIJALI Anonymous.OF 02:01 ...Diary ya Flora Lyimo Fashion Police in Tanzania 2012/2013 ITAWATAJIENI WOTE ,ABC....MPAKA WAACHE HIYO TABIA" WEWE KAA MKAO WAKUPIGA SIM "

  ReplyDelete
 3. Thanks for sharing your thoughts on weight loss surgery fortis insurance.
  Regards
  My web page ; size 0 weight loss patch

  ReplyDelete
 4. Wonderful beat ! I wish to apprentice while you amend your website,
  how could i subscribe for a blog website? The account helped me a acceptable deal.
  I had been a little bit acquainted of this your broadcast offered bright
  clear idea
  Here is my web site ; Wordpress Themes Customization

  ReplyDelete