KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 11 January 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 11-01-2013" AISEE NIMEANZA NA HAWA ,MTU NA MAMA YAKE " THE MIDDLETONS a.k.a. MAMA NA DADA YAKE MUKE YA KING MZUNGU" WAMEBEBA MABEGI YAO YAKUFANANA NA PIA YA HELA ZA KUHESABU ,CHAKUSHANGAZA NI KWAMBA WAMEPARARA HERI HATA WAMACHINGA WA MOSHI -MBUYUNI"

 

Like mother, like daughter: Carole and Pippa Middleton both carried the £195 Modalu bag when visiting the National Portrait Gallery
Like mother, like daughter: Carole and Pippa Middleton both carried the £195 Modalu bag when visiting the National Portrait Gallery"

Both carried black versions of the 'Pippa Grab' with gold detailing as they visited the National Portrait Gallery to see the unveiling of the official portrait of the Duchess of Cambridge.( Ya Mtoto mtu na Dada mtu" Anyway " sasa kuna haja gani yakununua mabegi ya hela yote hiyo na wakasahau kununua karangi kazuri cha kujipaka mdomoni na vipodozi vingine vingi mwavijua nyie Madada/Mama wa ukwe.,hebu waone hapa pichani kusema ukweli ni kama waliamka na kujikuta wanachelewa so wakavaa nguo na kuchukua mabegi yao fasta fasta" Alafu mabegi yenyewe hayajaendana na mavaazi yao " na shughuli yenyewe inavyojieleza hapo ,wangetakiwa wavae kimtoko wa Gallery kujivunia Mtoto wao ( Muke ya King Mzungu" KWELI KUVAA SIYO PESA " AU NYIE MNASEMAJE NYOTA ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG*Acheni maoni yenu anytime nitayaweka bila ubaguzi "Ila msisahau Matusi ni Marufuku "

Mabegi yanafanana eee,Ila the only difference is that Pippa's bag had a mock crocodile skin effect. The bag is available to buy in various colours at a cost of £195 from Modalu's website and retailers including John Lewis. A smaller version is also available for £169.
No need to share: The other difference in the bags is the mock crocodile skin effect on Pippa's version
No need to share: The only difference in the bags is the mock crocodile skin effect on Pippa's version"


Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook OR Tell.(+44) 07787471024 " Ikiwa wahitaji Mabegi kama yao kwa bei powa"

No comments:

Post a Comment