KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 14 March 2013

CHAPATI KWA MAPISHI YA FLORA BAHATI LYIMO ON SUNDAY 10/03/2013 MOTHERS DAY 'COOKING ON BEHALF OF MY PRETTY WIFI VICKY'S TWINS' IN LOVE WITH HII FAMILIA YA KUMCHA MUNGU KINOMA!!

 MAMA VICKY MUKE YA JOSEPH MATONDA YOU ARE A STAR!! WE LOVE YOU SO MUCH MAMA WAWILI"
UKANDAJI WA UNGA WA CHAPATI UMEKAMILIKA!!

 Hapa unazifunika zinakaa kwa muda kidogo kama nusu saa hivi usizidishe lisaa"

 Hapa ndo mwendo wa fasta fasta kwani unazisukuma ukishindana na ile iliyopo jikoni ,ikiwa tiyari nawe uwe tiyari for the next one,ili usiunguze ni lazima uzigeuze on time na kuhakikisha huzicheleweshi kuzikaanga na moto uwe wa kiasi "
 Huku mboga yako ikiivia pembeni wewe endelea na chapati ,kumbuka kuzigeuza fasta fasta " na uzigandamize ili zipate kuiva vizuri wakati zinapojipandisha juu.jeuza kwa kijiko usitumie vidole ukachomeka bure" yani chapati zako kama hazipandi juu basi jiandae kwa kula chapati ngum na pengine hata mbichi ndani"


 Mwaona zinavyojipandisha hapa ee,,yani hapa ndo utajua chapati zako ni laini na zitaiva kwa dakika na siyo kwa masaa!!

 Hapa naandaa msosi wangu ,natia asali (honey ) kwenye mchanganyiko wa pili pili hoho(mixed peppers)koroga alafu acha kwa muda kidogo kama dakika kumi na tano" alafu baadae utazichanganya na nyama" yoyote upendayo ,mimi nimechanganya kwa maini na figo"
mixed peppers with honey" kwa mapishi ya Flora Lyimo(Mchagga Ulaya'Mwanamke Mapishi na kujiamini'

 Hapa unaosha nyama yako na kwa sababu ni maini na figo hakikisha unachuja maji yote " ili usije zidiwa maji ,na kwenye kukaanga usiweke maji kabisa" maini na figo huwa yana maji yake yenyewe wakati unapoyaosha"
 Hapa ni baada ya kukaanga vitunguu na mafuta ya Flora"Unaweza kutumia mafuta unayopendelea kupikia wewe siyo lazima FLORA" na kuweka curry powder" unaweka nyama yako na kutia lemon juice,usiweke nyingi sana weka kiasi kuendana na wingi wa nyama yako"
 Mchanganyiko wote umekamilika sasa nikuivisha tu"
 Hapa zimeanza kuivaa,unaona rangi zimebadilika ee"
 Hapa zimeiva na tiyari kupakuliwa na kutiwa mdomoni hadi tumboni " mengine utasubiri hadi baadae" utashibaje na kujilambaje sasa'Mbuta Nanga"
Hapa ni jikoni kwa Flora Lyimo " anapika kwa kutumia mafuta ya FLORA na nikiwapeni habari kidogo ya siku nilipokuja Ulaya" Msicheke sanaa" OKOK" It was in 1994 when my Mzungu Boyfriend wa enzi hizo alipo ni peleka Dukani kushop for food" ndo tukaenda sainsbury's kwa mara ya kwanza Mtoto wa Kichagga Ulaya sijawahi kuona supermarket before " yani nilikuwa nashangaa kila kitu humo nikifikiria nyanya ,viazi ,ndizi ,maharagwe ,mauwa na vinginevyo vingi huuziwa sokoni (Anyway naimanishe Sokoni maana tangia utotoni mwangu ndo sokoni nilikuwa navionaga vikiuziwa au vibandani)leo inakuwaje vinauziwa ndani ?tena duka la nguvu lenye kila kitu" Mbuta Nanga!! then Mzungu wangu akanipeleka section ya vitu vya Flora peke yake,Akaanza kuniambia angalia vile your a Big STAR ,you didnt know this? you are my Big Tanzania Star Baby" yani nilimuaminije sasa Mbuta Nanga" ilinibidi ni nunue kila kitu ili mradi kilikuwa kimeandikwa Flora " hahhaaaaa"shakunifurahisha ni kwamba hadi leo nakumbuka kama sala na siku zote nimekuwa nanunua mafuta ya Flora kupikia miaka yote nimekaa Ulaya ,na niliporudi Home amini msiamini nilichukua mpaka Flora Butter Moshi 'wacha iyeyuke lile joto lote la Tanzania ni nomaa" wewe fikiria Mchagga kajikuta Ulaya yeye ni Super Star,na vitu vinavyomuwakilisha kwa jina lake ndo hivyoo vimejaa dukani ,siyo mchezo na nilazima nikaonyeshe Mama yangu na Familia yangu yote Uchaggani vitu vilivyo andikwa jina langu vinauzwa madukani Ulaya tena maduka ya nguvu "walinikomaje Ruwa Mangi" Anyway" nipeni kastori chenu na penda sana story na picha jamaniii" tuma kwa flo1974@btinternet.com

2 comments:

  1. hi Flora,thanks kwa kutuonyesha mapishi yako ya chapati kwa maini na figo....nitajaribu na kukutumia picha ...also hongera sana kwa duka lako ndani ya mujini oxford street..

    ReplyDelete
  2. mume yake kipara..14 March 2013 at 11:25

    na kukubali flora ,naomba uwe mke wangu please..mbuta nanga! napenda mwanamke anayejishuhulisha kama wewe flfp 'kweli mwnamke bila mapishi kazi kufuga makucha ni nomaa .and what a story!!

    ReplyDelete