Na Pesa za kuhonga mnaziona eee...eti watu wakaanzishe mikutano ya vurugu Chadema pesa tunazo CCM .....mengine jamani sitosema hapa " nitawaambieni Mwisho wa Safari hii"
Hapa MR Godbless Lema akimtukana Rais Matusi yasiyo na hesabu " yani mwenyewe nilianza kuogopa kwa kweli ila nikawa nipo kutaka kujibiwa swali langu lililonipeleka hapa usiku wa leo 07/08/2012" Mungu wangu sijawahi kuudhuria Mkutano wenyewe matusi machafu kwa Rais na viongozi wake pamoja na chama chake kama huu"But was nothing to do with me anyway"was just masikio yalikuwa yanasikia hayakuwa yameziba na wala mimi siyo kiziwi "Ruwa Mangi"
Hapa ndo ukweli unaanza kujitokeza,mwaangalieni anavyonitizama hapo Pichani ndo Lema wa pili kushoto"ndo ndo yeye tu anae nitizama angalia wengine wote macho yao yanatizama wapi"
MR Lema"Akiwa kwenye picha yake ya pamoja na baadhi ya walokuwepo usiku huu na siku ya kwanza kufunguliwa kwa Tawi hili la Chadema UK"
Flora Bahati Lyimo nikiendelea kuwaambieni kwamba Wanawake wenzangu hasa nyie mnao ishi huko Tanzania msiogope kabisa kutokusimama na kutaka msikike sauti zenu ziwe zenye nguvu au zisizo na nguvu nyie semeni hata ukishindwa andika chini kwenye kakaratasi na mpe mmhusika utasemewa na utapewa haki yako au utamsaidia na mwengine kupewa haki yake au kusikika,unapokaa kimya hakusaidie chochote bali kuendeleza wanaume wanao ona wanawake kama choo chao chakuingia wakati wowote wanapokuwa na haja yakukitumia" sasa basi mimi ningependa mjiunge nami kwa kulipinga hili jambo la wanaume kubaka wanawake na pia kutokuwapa nafasi za kazi au pia serekali inayowatuma wanamgambo ,Polisi kuwashika wale wanawake/Dada wanajiuza na kuwapeleka sijui Mahakamani nakupoteza muda bure wakukimbizana nao Serikali iwatafutie Kazi zakufanya na hata kama nikuwakamata basi wapeni kazi yakufanya na mshahara kuwalipa,yani hawawezi kuwa na kazi ya mshahara hata ya laki kwa mwezi na mahali pakuishi wakaendelea na kujiuza kwao" kwa hiyo mimi ndo maana nikaanzisha huo Mkopo Express of London accessories to Tanzania, KWA MALENGO YA KUWEZA KUWASAIDIA WATU WASIONA NA KAZI HASA KINA MAMA/DADA WAWEZE KUJIPATIA PESA ZAKUWEZA KUJITEGEMEA NA KUTAKA WASIJIUZE USIKU NA MCHANA" IKIWA WANAWEZA KUUZA BEG MOJA NA KUJIPATIA SHILINGI ZAIDI YA ELFU ARUBAINI" BADALA YA KUJIUZA KWA CHINI YA ELFU KUMI" Mimi kwa mawazo yangu ndo hivyo nategemea kufanya na pia sitoweza kufanya peke yangu ikiwa NYIE WATANZANIA WENZANGU MPO TIYARI KUUNGANA NA MIMI NA VILE VILE KUITAKA KUIONA NCHI YAKO TANZANIA IKIWA INAHESABIWA KWENYE MISTARI YA MBELE AU HATA YA KATIKATI BADALA YA MISTARI YA NYUMA TENA NYUMA KABISA"
Pia na omba mjiunge nami kuianzisha na kuiendeleza hii CHARITY YANGU AMBAYO NIMEFUNGUA " INAYOITWA , "FLORA LYIMO STOP RAPE AND RAP"
Bado nahitaji watu wakuisimamia na pia ningependa ikiwa unataka kujitolea kujiunga nami karibu sana kuchangia mawazo pia kwani ndo kitu ambacho nakifanyia kazi pia na UMOJA ndo ninaouhitaji sana 'Kwa malengo yakuweza kuwasaidia kina Mama /Dada nchini Tanzania kuweza kujisaidia au niseme kusaidiwa pale wanapojikuta kwenye matatizo ya ubakwaji,kupata sehem za kuwafunzia wanapobeba Mimba na pia kuzalia watoto wao,na kuepuka pale wanapojikuta wanafaniwa maupasuaji mengine ambayo hata wasingeyahitaji au pia kwa kukosa vifaa vinavyofaa kwa shughuli hizao na vile vile mafunzo ya Mama na Mtoto mtarajiwa" tuma email: flo1974@btinternet.com Whats app +447787471024 nitatoa maelezo yake zaidi baadae " Also please tell us what do you understand about RAPE,have you been RAPE or know anyone who been RAPE or Sexual assault ? Msiogope kusema ila you can email:bila jina lako na kutumia namba badala ya majina yenu ikiwa mnaogopa kujulikana but ningeomba msiogope waacheni hao Wanaume VITOMBI -TOMBI VIBAKAJI kama huyu Godbless Lema aogope na kujionea Aibu kwa uchafu wake" Asanteni sana na sitachoka kuwaambieni ukweli na kukuwepo kwa ajili yenu kutaka WATU KUTENDEWA MEMA HASA KINAMAMA/DADA ULIMWENGUNI" RUWA MANGI"
HAPPY MOTHERS DAY ALL AND GOD BLESS THE WOLRD AMEN" Flora Lyimo"
pole sana flora kweli nimesikitika sana kukusoma apa na hilo li kitombi tombi Lema sasa lipo jela au"
ReplyDeletembuta nanga!!
POLE SANA
ReplyDeleteSASA FLORA ULIMPELEKA KWAKO KUFANYA NINI JAMANI VYOO KIBAO HAPA LONDONI
MMMMMMH SIUNGEENDA TANZANIA UMFUNGULIE MASHITAKA KAMA UNAUSHAIDI
lol
ReplyDelete