KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 3 March 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 03/03/2013" YANI UNAWEZA KWELI KUVAA HIVI NA KUTAKA KUONEKANA NA ZAIDI YA MACHO MAWILI"" MBUTA NANGA!!

Hi ni from Woman Day Celebration 2013" sijui ndo maonyesho au vip,," Ila Kuddadaki MBOGA SIYO NYAMA KABISAA"Eti  hapa Nancy  Sumari  atuonyesha  vaazi lake la Mixed " Mchanganyiko maanake" Ila kwa kusema kweli nani atakae vaa hivi pamoja jamani hata kama umemvalisha kipofu hivi utaambiwa UMEMUONEA" How can you mix vaazi hili na kujisimamisha mbele ya macho zaidi ya mawili na kutaka waone na kukuiga hivi" Jamani Watanzania wenzangu tujifunzeni kwa yale mambo mazuri tunayo yaona kwenye hao wenzetu wa Hollywood manake" yani hata Mimi niliamua kujituma kufungua Blog na kuimiminia Mavaazi mbali mbali  hasa ya mitoko ya Hollywood na London pia,ili nasi Watanzania tuweze kufanya vyema na kuchangamkia shughulini hasa shughuli za kujionyesha kwenye zaidi ya macho mawili" Flora Lyimo Fashion Police ,hatachoka kuwaambieni ukweli hata kama mtaona mmeonewa mwisho wa siku mtajiangalia kwenye Blogs badala ya kwenye kiyeo nakuona ni kweli kabisa mwenyewe Ulichemsha na ulichafua" anyway my dear 's NYOTA ZANGU NA PAMOJA NA WALE WOTE WATAZAMAJI NA WASOMAJI...USIJE UKATUCHANGANYIA HIVI KAMA DADA NANCY ALIVYOTUCHANGANYIA HAPA,,YANI HIVI VYOTE NI VYA KUEPUKA PAMOJA..AVOID!!
My Blogger mwenza  Missie Popula"nae alikuwepo kwenye hii Women Day Celebration 2013'leo ningemuomba atuelezee hapa kuwa alivyovaa hivi kama mnavyomuona hapa pichani Mtu avae hivi akienda kwenye Mtoko wa kuonwa na macho zaidi ya mawili kweli ?!! Mbuta Nanga" kwa kichaga tunaendelea tukisemaje...NGAMANYA SEPFO!! Maana yake SIJUI TENA!!!
FLFP 'Say: maoni yenu pia ni muhim so wacheni kwa uzuri na yanayoweza kubadilisha mtu na kuigwa"

2 comments:

  1. hahaha Flora! Woooi manaako....mbesa pfooo!!nkikimae!! huyu Nancy na mis p wameamua kuovefashion>>>>!
    kiukweli its a borring outfit ever!!

    ReplyDelete