KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 3 March 2013

MATOKEO YA IBM 02/03/2013 AT CLUB LAFACE LONDON (ALBUM2) WHAT A FAB NIGHT"" POLE ZAO WALE WALOKUJA KUCHAFUA KWANI WAJUE FLORA LYIMO FASHION POLICE WAS THERE KUWACHAMBUA KICAMERA ZAIDI"MBUTA NANGA!!

 Wafanya biashara wakikutana utajua tu..Aliefanya kweli na Mambo yake ya I.B.M .MR FRANK GONGA NA FLORA BAHATI LYIMO a.k.a. MUKE YA AFRICAN KING" SO HAPPY TO SEE HIM DOING THE RIGHT THING!!EANDELEA KUTUFANYIA MAMBO MAZURI HIVI KAMA THE LAST I.B.M. MWAKA JANA ILA LIPISHA £20 POUND NA SIYO £15 MTU WANGU!!
 Wafanya biashara wakutana and was like ....Mazungumzo bila kuisha" nice to see nyie watu wangu na Hongereni kwa kazi safi"

 Hapa ni ndani ya Lafece Club on my way up to Gonga's event!!

Flora Bahati Lyimo Muke ya African King" ndo aingia Kifashion  Police zaidi kuwachambua walokuja kuchafua" DRESS CODE IS BLACK FOR I.B.M 2013 LONDON!!!

 FLFP ,nikiwa Job najifanyia kazi zangu za photographer nazo zipenda kulikoni!!
 Wifi yetu ndo huyuu mwamuona ee,I LOVE HER...Parycia Kassmody" 

 Kudadadeki Mpora ,,chezea wewe hapana kabisaa"
 Lady mwenyewe Uwanjani ,mwamuona eee!!


 Ulimi wangu mwauonaje,ndo mambo ya JD" 
Mdau alifurahije kuniona ,,aaa so so nice kuwaoneni pia Nyota zangu'yani he was like okkk nataka picha na wewe nataka picha"
 Ok ,okkkkkk,,stop there now!!

 Mablogger wakikutana utajua tu"" kwa raha zetu tunatesaje sasa' na watajikoroshoje",,
 Hapa baadhi ya rafiki zangu wameniambia niwapikie Supu ili tukitoka Club uwe ni mwendo wa kunywa supu"At my Blessing home,yani nyumba ya designer utaijua tu" Hapa ndo nimefika home na kuingia jikoni kujipakulia supu yangu'huku na wajeni wangu wakikifurahia mapishi yangu" Karibuni sana jamani !!nyota zangu kutesa kwa zam,wewe usijali kama hukukuwepo  hapa leo ,kesho ni zam yako! Anyway yani hapa nimelewaje,,mbege zimenipanda kisawa sawa,kwahiyo ikiwa nimeandika vitu visivyoeleweka hapa leo nisameheni.....FLFP"

4 comments:

 1. Excellent blog here! Also your website loads up fast!
  What host are you using? Can I get your affiliate link to your host?
  I wish my website loaded up as quickly as yours lol

  Feel free to visit my blog; search for a job online

  ReplyDelete
 2. Good way of explaining, and good post to get data about my
  presentation topic, which i am going to deliver in university.  My webpage :: best online blackjack sites

  ReplyDelete
 3. looking FABULOUS MISS LYIMO..ULIFUNIKAAA LAFACE CLUB IBM PARTY 2013 walikukomaje"FLORA LYIMO FASHION POLICE WAS IN THE HOUSE..Ukikamata wale wachafuzi..chezea weyeee..Love you Mpora!!

  ReplyDelete
 4. huyu Frank Gonga mbona mmependezeana hivyo..mbuta nanga!! Ila kusema kweli you look gorgeous,love that police hat on you " hata na hilo group lako wametoka bomba"

  ReplyDelete