Mama na mwana on Mothers day 10/3/2013 Sunday "
Lovely Look" waona hiyo head wrap eee..ndo manake Taarbu look!!
Mwanamke Handbag asikudanganye mtu hata liwe lidogo vipi usitoke bila handbags !!
Misosi time yummy!!
Missy Temeke Rocking head wrap kimnyama zaidi " Love the look na sikioni mnakuona eee" mie yangu machooo....Mbuta Nanga"
Ndo mambo ya Head Wrap na Kitaarabu look zaidi" mwasemaje nyie nyota za FLFP" Wacheni maoni yenu na kama mnapicha zako rocking head wrap tuma kwa flo1974@btinternet.com
UNAWEZA KUNUNUA KWA JUMLA AU REJA REJA" KARIBUNI /WELCOME"
No comments:
Post a Comment