KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 23 March 2013

OUR LONDON TODAY 23/03/2013 (ALBUM 2) WATU SOKONI IN DALSTON WALIKOMESHWAJE NA SNOW "ILA POLE ZAO HAWA VIBIBI JAMANI!!

 Anajutaje kwa kutokubeba Mwavuli"alafu Mwanake Handbag na analo ila yeye hatembeagi na Vi' Umbrella"yani 80% Kina Mama/Dada in UK ukitizama kwenye mabeg yao lazima utakuta kuna Umbrella ile ndogo"


Huyu Mama sijamuelewa kabisaa,,kwanini kabakia kubebana na mwavuli ulofunguliwa bila kujifunika na huku snow na mvua ndo zimezidi kudondoka? ama kweli usione watu wakitembea ukazani na akili zao ni nzima waache tena wala usiwazuie njia kabisaa"Mbuta nanga!!




Chezea Swaga za Market ,watu wanajua kuyabeba maembe siyo mchezo eti"


Happy Umbrella day " Mbuta Nanga!!






Mwaliona hili Handbag ee, Mwanamke Handbag" Usitoke bila utakuwa hujakamilisha mtoko wako"


Mwaliona hilo Handbag ee,Mwanamke Handbag"


Hapa ana msubiria upande ule mwengine akimuita njoo vuka bwana twende twachelewa'alafu masikini ya Kijana wa watu hadi Mwavuli wake ushaharibiwa na Wind'hebu tizama Umbrella yake apa" Ila Dem wake wala hakujali kuchelewa bore achelewe kuliko nywele zake zinyeshewe au kunuswa na Snow"

Hapa huyu Kijana alikuwa anamsubiria huyu Dem wake avuke Barabara sasa Dem akagoma mpaka akavuka kwenda kumchukua sababu alikuwa hana Mwavuli na hakutaka Nywele zake zinyeshewe wala kunuswa na Snow"na aliendaje kumchukua ,kweli Mapenzi ni matamu ukimpata ayajalie na kukutumikia kama KING AND QUEEN"
Hapa ndo kasha kwenda kumchukua mpenzi wake na tiyari kuendelea na safari yao"

Hapa utadhani huyu Bibi hana Miguu yote miwili ana mmoja" ama kweli kuna Catwalk na Dogwalk" Mbuta Nanga!!

Utafikiri huyu Kijana anakwenda kumfuata huyu Bibi kumbe wala' ni mnyumbo wa Bibi mwenyewe" Bless Her"
Hii nayo ni Famili nyingine nayo ilijaribu kuing'arisha siku ya leo lakini wapi " hakuna cha Bright colour's wala nini"
Hapa hawa ni Mama na Watoto wake walikuwepo Ndani ya shopping centre "sasa subiria uwaone wakiwepo huko nnje yani walishangaaje sasa kukutana na bonge la snow zikidondoka fasta fasta"
Ndo hawaa ,yani hawakuamini macho yao 'Watu na Food Shopping lazima watu wale hata Ije Snow kwa Kiasi gani'Je wewe ulipatikana kwenye Snow ya leo London UK au popote ? Send US YOUR PHOTO'S TO flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment