KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 7 April 2013

I LOVE MY MONDAYS NIGHT'S WITH THE SPORAH SHOW" NILIPIKAJE FASTA FASTA'MBUTA NANGA!!

 MY DINNER ,JUST ON TIME TO WATCH THE SPORAH SHOW"

KARIBUNI MSOSI MY DEARS.." MIE MTOTO MZURI EE,NIMEMALIZA CHOTE HAKIBAKI KITU LABDA MIFUPA"YANI NAKULA NYAMA MIFUPA KULENI NYIE,,MBUTA NANGA!!
 MMEONA WHY YOUR DESIGNER HAENDI KULIA HAPA MEZANI SIKU IZI EE,,FULL KUPANGA NA KUTUMA BIDHAA ZENU MABOSS WANGU!
 CHAPATI DINNER LEO" YANI NILIKUWA NA HAM NAZO NA HUKU NAFANYA FASTA ILI SPORAH SHOW ISINIPITE'KINOMAA"

 JUST FOR YOU DEAR..ANYTHING FOR YOU"MBUTA NANGA!!

 KULE JIKONI KWINGINE NAKO KULIKUWEPO NA MSOSI WA MATOKE"

 AFADHALI SIKU IZI  HAMPIGI MAKELELE,MNAONGEA MKAELEWEKA SIYO KAMA MWANZONI" SO PROUD OF NYIE NA ENDELEENI HIVYO HIVYO ,ILA MNAPOONGELEA MAMBO YA RAPE..KUWENI WAANGALIFU NA MNAYOYASEMA MAANA MLIKUWA MNATAKA KUHARIBU" ANYWAY ..CAN'T WAIT FOR TOMORROW..IS MONDAY RIGHT!!
ON ARRANGED MARRIAGES....WHAT YOU THINK PEOPLE" ULETEWE KIBABU KIZEE HATA KUKUKUNA MGONGGONI HAKIWEZI ALAFU ALAZIMISHIWE NA WAZAZI WAKO NDO MMEEEEEEE...MBUTA NANGA..NITAKIMBIAJE NA HAPO NDO MWISHO WAKUNIONA MAISHA YENU" JAMANI MAISHA NIKUISHI UPENDAVYO NA SIYO WAPENDAVYO HATA WAWE WAZAZI WAKO MAMA ALOKUZAA....SITAKI MAMA EE"ANYWAY ..THAT IS ME,AND UCHAGGANI KWETU KOTE..HALAZIMISHIWI MTU KITU NA  KUOLEWA NDO KABISAA" (IN CHAGGA)MAWAKAKAPA WAKAWAAWA"NGEALYIKO NA IMEEKU AU IMNDU NGILALYIKUNDA NE ILICHAKUO NGIMONYIPFO" APAA KITE KYA MANGI"

2 comments:

 1. Awesomе blog! Is уour thеme custom made or diԁ you
  ԁoωnlοаd it from somewhеre?

  A thеme lіκe yοurs ωіth a few sіmple аԁjuѕtеments would rеallу maκe my blοg shinе.
  Please let me κnοω where you got youг dеsign.
  Many thanκs

  Also vіѕit my web-ѕite :: Daniel Chavez Moran

  ReplyDelete
 2. nyumba ya mchagga utaijua tu haikosekani mbege,mbuta nanga..nice home and nice plates"

  ReplyDelete