KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 31 May 2013

BY: FLORA LYIMO: MBUTA NANGA!! FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 31.5.2013 HUYU NDO KATUFUNGIA MWEZI WA MAY"

 Yani hapa mngemuona msingeacha kumgeukia kama hawa hapa pichani walivyobakia kushanga huku wakitaka kuingia kwenye basi aliloshuka msichana huyu baada yakuulizia ikiwa laenda anakotaka kwenda akaambiwa haliendi ndo akashuka na kukutana na Flora Lyimo yupo tiyari kumfyetua"chezea Mpiga picha wa ukwee Flora Lyimo Photographer' ,wakuwachambua wachafuaji washughulini zaidi na hata yale yaliyojificha kuyafichua'Flora Lyimo Fashion Police:
Yani huyu msichana ni bint mdogo na sijamuelewa ni kwanini haswa mchana huu ajipake sijui ni poda alafu kawa mweupe wa majivu yani poda yaonekana kabisa na kila mtu alikuwa anamgeukia yeye'' hivi hizo makeup zakutaka muwe weupe mnadhania kuwa mweupe ndo kuingia moja kwa moja Mbinguni au ? hebu nipeni jibu jamani maana kuna wengi sana wameharibika uso na viungo vyao vya mwili wakitumia mikorogo"  have your say and don't forget to FOLLOW THIS BLOG"

No comments:

Post a Comment