OKeeeeee' LADY'S STOP THERE'RIGHT THERE!! Now answer Flora Lyimo Fashion Police Question'' |
Leo ninaomba kuwauliza nyie warembo mnaojijua kwa urembo wenu 'huwa mnabadilisha mitindo yenu ya nywele mara ngapi kwa mwaka ? kuanzia mwaka huu sasa ni miezi mitano inaelekea kuisha ,je umebadilisha style ya your hair mara ngapi hadi sasa hivi" wacha maoni yako hapa na picha unaweza kunitumia pia 'kwa flo1974@btinternet.com
unajua nini Flora kusema kweli mimi sasa hata sijui nimebadilisha mara ngapi maana huu ni ugonjwa wangu hata kwa mwezi naweza badilisha mara kumi'yani mara ni nyoe kipara ,mara nivae mawigi ya kila mtindo na rangi yani ni balaa...
ReplyDelete