MKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT FORWARDER LTD AKIWA NEW YORK CITY
*Picha ya Juu na chini ni Bwana Simon Louis aka Mohsin akiwa na Dulla nyumbani kwa Flaviana kulia, Bwana Mohsin yupo New York kikazi zaidi kwani anamipango ya kufungua tawi jipya la kampuni hiyo ya Serengeti Freight Forwarder Ltd. Na akiwa New York alipata fursa ya kukutana na Flaviana Matata nakuongea nae mambo ya biashara yake hiyo.*
Tell us more please miss flora lyimo'mbuta nanga
ReplyDelete