KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 2 June 2013

HIVI VINAFAA KWA BEI POA YA RAHISIIII 'UKIPENDA CHOCHOTE APA CALL OR WHATSAPP + 44(0) 7787471024 KARIBUNI '


 FOR THE BOYS 'KINAKANYAGAKANYAGA"
 FOR KIDS AU WASICHANA CHANA ZAIDI"

 BACK TO THE BOYS''SAFI SANA KWA MTOKO WA KUWATEMBELEA WAKWE'MBUTA NANGA"
 CHA WASAFI WA WASAFI IN BONGO''

 CHAKUTEMBELEA KANDO KANDO YA BAHARI PAMOJA NA MTOKO WA KUNUNUA NUNUA MARUSHA ROHO YA MIJINI''

 BOYS KWA RANGI NA PESA ZAKO''BEI POWA NA IN DAR IN 2WEEKS''
 JIVISICHANA CHANA FULL KUJICHANA CHANA MIJINI NA KWENDA KUMTEMBELEA BIBI NA BABU VIJIJINI''
KWA RANGI ZAKO PIA ,NYEUPE NA NYEUSI YAPATIKANA''
Kwa hiyo hapa nikufanya fasta kwa oda yako kwani sasa hivi vimebakia vichache minadani wenzetu wanaija wamevimaliza jamani wale wanajuaje Biashara' yani kwa kweli najifunza mengi sana ninapofika minadani au hata masokoni siku izi kuna vitu vya bei powa sana ' wewe Mwanamke amka usilale na kuhesabu matusi mitandaoni jamani biashara zipo kibao na hasa kuchangamkia Home kule Bongo wenzetu wanahitaji ajira' jiungeni wasaidieni wenzetu ili nao wapate kujitegemea na siyo kuwategemea Wanaume na mwisho wasiku Kubakwa na kupigwa bila sababu yoyote" ni hayo tu'' 
http://www.facebook.com/www.mkopoexpressbyhouseofflora


ALL WELCOME KWA JUMLA AU REJA REJA" ILA JUA BEI YA JUMALA SIYO SAWA NA BEI YA REJA REJA"

Dont forget to FOLLOW THIS BLOG"

No comments:

Post a Comment