KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 5 June 2013

THE TOP IN TOWN NDO HUYU ' SI MWENGINE NI FLORA LYIMO FASHION POLICE : HER MAY 2013 MTOKO IN MJI MKUU WA UINGEREZA LONDON !!

Flora Lyimo the one and only mfichua mabovu na kuyaanika hadharani bila kuogopa'' hahaha nawashangaa watu hawakimbii bunduki kabastola lakini Flora Lyimo akitokea na Camera yake ile babu kubwa au na kale ka'camera chake kidogo'' wanakimbiaje sasa''mbuta nanga' kweli Mimi kiboko cheni kubalini matokeo 'Ngoma ipo na Uwanjani viungo na vitekenya waja wakaa kwa vichwa badala ya makako" mnitukane ,mnitukane tusi gani haswa mnalolipya?matusi yenu ni yale yale tangu mzaliwe mkayakuta " hahaaa Vicheko vyenu hivyo ' kama si vyenu ni vya waume/wachumba zenu' Kudadadeki"
 Flora Lyimo Fashion Police: Top in Town na najiaminije sasa" Pole mtoto usokuwa na Adabu naona unaumwe sana kwangu mimi kujiamini na kusimama Imara hadi nipo TOP IN TOWN'' Upende ,mpende msipende mwanamke kujiamini Bwana'' nawewe jiite na kujitangazia yako na siyo kuyafuatilia ya kwangu Flora Lyimo Top in Town 'a.k.a. Muke ya African King wa Ukwee''na kuyalinganisha na yawengine walojiamini pia'' wajua nini ?'maana wewe ni hodari wa kujipakulia kwa wenzio na hii kaweke kwenye Blog yako pia" Mbuta Nanga!!
 Flora Lyimo the Tanzanian -Londoner Black cab lover akiingia in one of them kuelekea kwenye mtaa usolala London "

 Ndani ya Black Cab kuna rahaaaaaa!!
 Nimewaachieni picha ziwasemesheni maana zinasema maneno yote na yenye adabu zote!!
MBUTA NANGA!! RUNDUKA MONO LYIMO""
Habari ndo hiyo nafikiri mmejifurahishia macho na kuiga ni bure kabisaa' now dont forget to FOLLOW THIS BLOG"

2 comments:

  1. wape wape maukweli yao flora ,you look fab and i love your dress so much yani wasikuandame mwanamke kujiamini na upo juu'' be Bless mbuta nanga'

    ReplyDelete
  2. Nimekupendaje Flora wewe...:-) x wape wape haooo vidonge vyao wamezidi kha? mbona yao hawasemi? pengine watu wanayajua lakini hawayasemi It's not there business!... kwa raha zako dada fanya upendayo fanya ile roho inapenda! mwanamke kujiamini! MBUTA NANGA!...hahaaa...

    ReplyDelete