KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 9 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 09/12/2013'' JESTINA GEORGE WEDDING ANNIVERSARY & HILAL'S BIRTHDAY DINNER AT GAUCHO ''JAMANI HEBU ONA WALIVYOWAHARIBIA WATU VYAKULA VYAO ''WATANZANIA MNAKUWAJE VITUKO PAMOJA NA KUISHI LONDON HAMJIFUNZI ? DONT EVER REMOVE YOUR SHOES IN THE RESTAURANT AND YOUR WEDDING ANNIVERSARY SHOULD BE ROMANTIC 'DRESS SEXY TO YOUR MAN '' OR BASI VAA GAUNI AU SKIRT WITH NICE TOP LIKE SHEINAZ HAPA'''MBUTA NANGA!!

 KWANZA KABISA HONGERENI KWA KUFIKISHA MWAKA MMOJA TANGU MZIFUNGE PINGU ZENU ZA MAISHA'' CONGRATULATIONS !!!
 SASA HAPA NYIE WA WILI NDIYO HAMUELEKI KABISA KWA MAVAAZI YENU 'MENGINE TUYAACHE KWA SASA'' LETS TALK ABOUT THIS WEDDING ANNIVERSARY DINNER '' HIVI KWANZA MMEJUA HIYO NI RESTAURANT YA AINA GANI ?AND AT THIS CHRISTMAS TIME PEOPLE ARE GOING OUT TO HAVE THEIR DINNER IN ROMANTIC WAY OF IN SEXY DRESS NA SIYO LIKE YOU ARE GOING TO WORK OR GOING SHOPPING'' AU HATA KWENDA NYAMA CHOMA ? HII NI GAUCHO NA SIYO ILE YA MJINI AMBAPO NDIYO CITY BROKERS HUENDA KULEWA NA THEIR WORK SUITS ZAIDI'' HII IPO NJE YA CITY OF LONDON NA NI MORE LIKE ROMANTIC WHEN PEOPLE GO THEIR WAMESHAFANYA MPAKA NA BOOKING YAO TIYARI AND IS NOT FOR £10 POUND HAPO UKILA IPASAVYO NA KUNYWA LAZIMA £200 IKUTOKE OR KAMA NYIE MPO SIJUI SITA IS ABOUT £800 TOP '' AU HATA ZAIDI INATEGEMEA NA MLIVYO KULA HAPO NA VINYWAJI KAMA SIYO MAJI '' MIMI MY 30th  BIRTHDAY WAS IN HERE 'HAPA HAPA GAUCHO NA TULIACHA HAPO £3,600' ILA TULIKUWA WENGI '' ANYWAY ''MY POINT HERE IS ABOUT WHAT ARE YOU WEARING AT WEDDING ANNIVERSARY DINNER? TAFADHALI BADILIKENI JAMANI MNATIA AIBU MPO LONDON NA MNA MACHO HAYAONI MAVAAZI FLORA LYIMO ANAYO POST KWENYE HER FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG KILA SIKU ? MBUTA NANGA!!

 SASA ONA HAPA MMEMCHAFULIAJE SHEINAZ ''YEYE KATOKA NA MME WAKE KWENDA KUSHEREKEA BIRTHDAY YA MME WAKE IPASAVYO '' WHICH SHE DRESS IPASAVYO 'VAA KAGAUNI AU SKIRT YAKO NA SEXY TOP KAMA HIVYO AND JUST LADYLIKE'' ILA NYIE KAMA KAWA YENU SIJUI AKILI ZENU HUWA ZINA FIKIRIA KUHARIBIA WATU SHUGHULI ZAO TUUUUUUUUUUUUUU''' YOU NEED TO START TO THINK OF LOVE AND NOT HATE ZAIDI MAANA NDIYO MAANA HATA KUVAA MNASHINDWA ''AND THIS IS FOR YOU JESTINA NA HUYO BEST WAKO WA UBALOZINI'''

 AIBUJE''' KUMBE NDIYO MAANA WATU WAKAWA WANASIKIA KUTAAPIKA KUMBE NI KWA HARUFU MBAYA YA KUVUA VIATU VYENU HAPA'' HEBU ONENI CHINI YA HIYO MEZA''UTADHANI WAPO SIJUI SEBULENI KWAO '' JAMANI THIS IS GAUCHO RESTAURANT YA WATU WANAKUJA KULA IN ROMANTIC AND IN SEXY DRESS ''DONT EVER REMOVE YOUR SHOES IN ANY PLACE YA MSOSI TENA MAHALI PA BEI MBAYA KAMA HAPA'' HATA HUYU KAKA WA KWANZA KUSHOTO KAVAA POWA KABISA UTADHANI WAS HIS WEDDING ANNIVERSARY '' AND I'M SURE YOU DID MAKE BOOKING SO MLIKUWA MMEJIPANGA KWENDA HII DINNER NA PIA KUIUNGANISHA NA BIRTHDAY YA HILAL'S'' SO WHY DRESS LIKE THIS AND GO VUA MAVIATU KWENYE RESTAURANT KAA HII''?? I HOPE NA WENGINE MTAIGA MAMBO AMBAYO FLORA LYIMO FASHION POLICE ANA WAAMBIENI ''DON'T DO AND DO '''
 PUT YOUR SHOES BACK ON LADY'S LA SIVYO YOU MUST LEAVE MY RESTAURANT NOW'''MBUTA NANGA''INGEKUWA YANGU ''HAPO HAKUNA KULA MTU MPAKA MVAE HIVYO VIATU AND DON'T DO THAT AGAIN '''

 HALOOOOO''MAPENZI TELE TELE'' NANI ALISEMA WAISLAM HAWAKISIANI HADHARANI ''JAMANI LEMUTZ YUKO WAPI MAANA THIS TIME MWAKA JANA NILIKUWA IN BONGO TANZANIA NDIYO LEMUTZ WA KWANZA KUNIPIGIA SIM ''FLORA RAFIKI YAKO JESTINA KAOLEWA NA KABADILISHA DINI NA JINA NA YEYE NI MTOTO WA MCHUNGAJI INATIA AIBUJE'' MIMI NIKAMUAMBIA SIJUI WALA YEYE SIYO RAFIKI YANGU NI MNAFIKI MKUBWA WALA SITAKI KUMSIKIA'' BUT GOOD LUCK TO HER '' YANI HIVYO NDIYO NILIMJIBU ''NDIYO AKANIAMBIA NIKAINGIE KWENYE BLOG YAKE LEMUTZ BLOG KUONA ALIVYO MCHAMBA LIVE'' SASA MWENZANGU KULE MOSHI MAMBO YA NET NI NOMAAA'NIKAJIKIMBIZI MPAKA MJINI FOR WHAT ? ANYWAY I DIDNT SEE IT MAANA NILIKUWA SO BUSY WITH PARTY YA MY BIG SIS' BAADAE NILIPOKWENDA DAR KWA MY DDM FRIEND NDIPO TUKAWA TUNAWASILIANA NA LEMUTZ NA PIA NIKAENDA KWAKE KUMPELEKEA VITU VYAKE NILIVYO OMBWA NA DADA MMOJA NIMPELEKEE KWA WEMA WANGU I DID'' AND MWISHO WA SIKU WHAT I GET FROM HIM NI MATUSI NA KAMA HIVYO HIVYO ALIVYOMTUKANA JESTINA MASIKINI HADI NA PICHA ZA HARUSI SASA HAONI HATA AIBU KUMUITA MBEBE''AND SHE IS MKE WA MTU TENA WEWE KAKA ANGALIA VIZURI HAO WANAUME WAKUITA WANAWAKE ZA WATU MABEBE''NI HATAREEEEEEE'' ANYWAY ''JESTINA TUWEKEE PICHA ZAKO ZA HARUSI NA NEXT TIME WEAR SEXY DRESS LOOK MORE ROMANTIC KWA MME WAKO ''SIYO MUWE ROMANTIC KABLA HAMJAOLEWA ALAFU MKISHAOLEWA NDIYO MNAAVA KU DONT CARE'' YANI WATAWAACHENI NA KWENDA KUTAFUTA WALE ROMANTIC AGAIN ''IGA KWA SHINAZ 'SHE IS THE BEST MMKE MWEMA NA MTULIVU KWA NDOA ZA VIJANA WADOGO HAPA LONDON I EVER SEE'' MBUTA NANGA!!

 HATAKI NA KIJIKO ANATAKA NA MDOMO ''CHEZEA KAKA MERU WEYEEEE''TIZAMA PICHA YA CHINI SASA!!
 SIUNAONA EEEE' MAPENZI YA HADHARANI PENGINE NDIYO ALIYOKOSA KULE KWA WALE WAKE ZAKE MNAOSEMA JAMANI '' YOU KNOW A MAN KNOW WHAT HE WANT AND WHAT HE WANT IF HE DONT GET IT 'HATA UWE MZURI VIPI ATAKUACHA NA KWENDA KUTAFUTA UNACHOMNYIMA'' I SAY THAT MAANA I KNOW JESTINA AND I KNOW WHAT SHE CAN GIVE TO A MAN AND THAT MAN WALAAHIIII LAZIMA AMUACE MKE NA WATOTO WAKE'' JESTINA SHE IS LIKE CHUI ''' CHUI HALALI MTINI NA KURUPUKA KUSHUKA FASTA FASTA BILA KUHAKIKISHA ATANASA MNYAMA NA KUPATA MSOSI '' AND EVEN KITU KINGINE JESTINA ALICHO NIAMBIA NI KWAMBA ''MWANAMME WA MTU HAIBIWI ANAIBIWA KWANI YEYE NI MAITI '' HUKUTWA AKIWINDA NA SIKU ZOTE MTAFUTAJI LAZIMA HUPATA'' NA MMEO IKIWA HUMRIDHISHI KWA KITU KILE CHA UTU UZIMA''LAZIMA UJUE KWAMBA ANATAFUTA NAMNA YA KIKIPATA NA AKIKIPATA ANDIKA UMEUMIA'' ANYWAY ''ENDELEA KUTIZAMA PICHA NA HAKIKISHA UMEJIFUNZA'' DONT DO LIKE THEM HAPA''

 THIS IS MORE LIKE IT 'BIRTHDAY DINNER '' I LOVE NYIE WAPENZI WANGU MSIBADILIKE 'MZIDI KUPENDEZEANA NA KUZIDISHIANA MAPENZI TELE TELE'' NA MKIVAA MVAE IPASAVYO I KONW SHEINAZ ULIKUWA UNAVAAGA VIZURI LAKINI TANGU UJIUNGE NA JESTINA UNAANZA KUPOTEA KIMAVAAZI POLE POLEEE'NA HAPA HUJAKOSEA ..UMEPATIA 9/10 FOR MTOKO WA BIRTHDAY DINNER  ''ANYWAY ''HAPPY BIRTHDAY KAKA HILAL ''BE BLESS ALWAYS!!

 ENJOY YOUR BIRTHDAY KAKA NA SHEM LETU ''
CONGRATS TO YOU AND MERU'S ''' BE BLESS ALWAYS''MAISHA IS ABOUT LOVE AND KUFUNDISHANA PALE TUNAPOKOSEA NA KUTAKA WATU HASA KULE HOME TANZANIA WAIGE VYA MAJUU AU NISEME VYA WATANZANIA WANAOISHI MAJUU''
FLORA LYIMO ''

1 comment:

  1. top in town hujambo ''flora hii nimeandika kwa sintah blog..naona ataibania'sasa nimekutumia na wewe. love you mingiiii''
    Hivi wewe una akili maukweli yote tumeshayapewa na flora lyimo blog'kaingie kwenye blog yake ujisomee maukwee ...mwanamke romantic na siyo DUMB''kama huyu jestina aka muiba waume za watu ..baba mtoto kwa roho yake mbaya hakumtangaza kwenye blog yake lakini huyu ndiyo kujitangazia kwa upuuzi huku hata kuvaa halijui..ovyoooo..kiboko chake flora lyimo....

    ReplyDelete