KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 28 December 2013

BY:FLORA LYIMO~ WALE AMBAO HAWAKUAGA WAPENZI WAO 'NGOMA WATAICHEZA WENYEWE'' ALBUM (4) NA YA MWISHO YA SUPER SHOW YA SHILOLE &AT IN LONDON 24/12/2013'' SASA ONA KILA MTU NA KILA KITU 'WATU WALIMWAGAJE RADHI'' CHEZEA DUDUUU''MBUTA NANGA!!

 THE ONE AND ONLY SUPER DIDA WA KUWAANGAMIZA HATERS WOTE'' JUST LOOK AT HER ''LOOKING FAB AND IF IT WAS NOT HER ''TUSINGE ENJOY CHRISTMAS EVE IN LONDON '' ATAKAE SEMA SHOW HAIKUMRIDHISHA BASI 'SIE TUMEMPOTEZEAAA''WALA ASITUSHUGHULISHE KWANI WENYE MACHO HAWAAMBIWI TIZAMA NA FLORA LYIMO FASHION POLICE SHE WAS THERE TO MAKE SURE ANAWANASIENI MKANDA MZIMA WA YALIYOKUWA YANATOKEA NA SIYO WATU KUPIGWA NA MAPOZI'' RAHA YA PICHA ZA SHUGHULI KAMA HIZI NI WALIYO MWAGA RADHI NA KURIDHIKA NA KURIDHISWAAAAA''ENJOY ''SASA NIMEWAACHIENI PICHA ZIWAELEZE YOTE''NA MSIKOSE MK LEO JIONI NDO MAMBO YOTEEE!!

 WAAMBIE WALE ''''WENYE ROHO ZA KWANINI ''HAYAWI HAYAWIII,,MBONA YAMEKUWAAAAAAAAAA''MBUTA NANGA'' PENDA WEWE SANA DIDAAA!!

 MTANISEMA ,MTANICHUKIA,MTAJIBEBANYIEEEEEEEE''HAO HAO HAO WAJUAJI WAKUSEMAAAAAAAAAAAAA''WAKUZIBIA WENZAO RIZIKI ZAO'' MTAJIBEBAA NA MJIPANGE TENA MWAKA MPYA 2014 '' HAHHAHHAAA''HABARI YA MUJINI NDIYO HIYOO'' VIJIMISTARI VYA FLORA LYIMO '''MSIPITWEEE'''ANAWAPENI MAKAVU LIVE'''
 NAWAPENDAJE WAPENZI WANGU ......BLESS NYIE SANAAA'NA ASANTENI KWA KUJA NA KUSHIRIKI NA FLORA LYIMO KUMKARIBISHA DINNER OUR SUPER STAR SHILOLE ''AT FLORA LYIMO LONDON BLESSING HOME''' WENYEWE KUJINYOA NA WAKAJINYOEEEEEEEEEEEEEEE'''MBUTA NANGA!!

 NDIYO TUMEINGIA MSIONE MEZA KAVU JAMANI''TULIKUWA NA VINWAJI HADI VIKARUSHA WATU ROHOOO''HAHHAHAHHAAA'' JAMANI BADO NACHEKAJE'' OUR DRINK ''MBUTA NANGA!!



















 HUYO NAE KAJA KUDO PUSH -UPS'' MBUTA NANGA'' JAMANI HE WAS THE ONE WHO DO THE CHAIR MPAKA TUKAKIHURUMIA KITI KILE JAMANI'' YANI YOU DONT WANT TO BE THAT CHAIR '' UWIIIIIII''KIJA HATARIIIIIIIIIIIIIII!!







 HUMAAAAAAAAAAA''THE CHAIR JAMANIIIIIIIIII'''

















 KIJANA HATARIIIIIIIIIIIIIIIIII'MUONE NA KITI CHAKE '' UWIIII''ALIKUWA HAKIACHII KABISAAAA''



 HAPA NDIYO ULINZI MKALI ULIINGILIA'' YANI VIJANA WALIPAGAWA HASWAAA''SHILOLE TOTO LA KITANZANIA LISILOKWISHA MAUNO BILA MIFUPA DOING WHAT SHE LOVE IN LONDON ''CHEZEAAAAAAA!!

AND THE MFALME WA MDUARA MWENEYWE NDO HUYOOOO''WATU FULL KUMWAGA RADHI '' NANI ANANUKA KIKWAPAAAAAAAAA''MBUTA NANGA!! MULIZENI SHILOLE JAMANI '' HABARI YA MUJINI LEO WAPO MK''MSIKOSEEEE MAMBO YOTE UWANJANI HADHARANIIIIIIIIIIIII'' HAVE FAB ONE NA MAANDALIZI MEMA YA KUUMALIZA MWAKA 2013 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 '' BE BLESS NA PENDA ZAIDI '' DONT HATE''
FLORA LYIMO FASHION POLICE ''

2 comments:

  1. Hi my dear..Video sijaweka kwa sababu imekatwa on just dakita sijui sekunde pale wanasceza tu..Mimi nasubiria watoe video yenye maana yani ndefu na mpango mzima show ilivyokuwa'' siyo video ya kutizama sekunde na inaisha ..sasa what the point of kutizama ai kuharibu wakati wangu ..nilitizama nikatamani iendelee and nothing you can do about it..so im sure Dida atatuwekea mkanda mzima wakutizama hata kwa dakika kumi ''then nitawawekeeni '' HAPPY NEW YEAR !!

    ReplyDelete