MASTAAA NDO HAOO'' FLORA LYIMO IN CHRISTMAS SPIRIT AND THE SUPER STAR WA MAUNO BILA MIFUPA MWENYEWE' SHILOLEEEEEEEEEEEEEEEE!!
MKONO WA TUMANOTI MNAUONA EEEE''FLORA LYIMO FASHION POLICE HAND''KUTOA NI MOYO NA SIYO UTAJIRI ''
HABARI YA MUJINIIIIIIIIIIIIIII''MWAONA MAVAAZI YA KUVALIA KWENYE SHUGHULI ZA CHRISTMAS EEEE'' LAZIMA ZITILIWE VIUNGO VYAKE'' KOFIA ZAIDI'''
THE TANZANIA STARS AND BIG FAN OF SHILOLEEE''FLORA LYIMO IN RED AND DA-NUUU'' ASOWAJUA NA AWAJUE NAO 'PIA WANAJULIKANA KAMA TEAM MAKAVU LIVE''
HAHHAHAAA'HUYO KIJANA ANAMUANGALIAJE FLORA LYIMO FASHION POLICE''SIYO MWINGINE NDO YEYEEEEEEEEEE''MBUTA NANGA!!
CHEZEA THE BIG FAN OF SHILOLEEEEEE''YANI WAKIJA WASANII NIWAPENDAO NA NIKIPEWA KILA UPANDE WAO ''NA HAKIKISHA NIMEWAFANYIA KWELI '' I LOVE THAT AND THANK YOU KWA WALE WANAOHUSIKA NA KUWALETA NA VILE VILE KUJUA FLORA LYIMO NI BIG FAN WAO NA KUNIPA NAFASI YA KUJINAFASI NA KUWAFANYIA KWELI ''YOU KNOW HIZI SHUGHULI ZINAHITAJI WATU KAMA FLORA LYIMO KUHUDHURIA'' YANI UWANJANI TUNAINGIA BILA KUJALI MACHO YA HATERS WALA VIJIDUDUKOPOZ'' HABARI YA MUJINI ''
JOB WELL DONE DID'' NA LEO JAMANI MSIKOSE MK NDIYO MAMBO YOTEEE''
ENJOY AND HAVE MAANDALIZI MEMA YA KUUMALIZA MWAKA 2013 ''
No comments:
Post a Comment