KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 30 March 2014

BY FLORA LYIMO ~ HAPPY MOTHERS DAY TO THE SUPER MAMA FLORA LYIMO AND ALL THE MOTHERS IN THE WORLD'

Mama Flora Lyimo akiwa amembeba Mjukuu wake ,huyu ni Mmoja wapo wa Wajukuu wake 15 'kati yao ni Watoto wake watatu nikiwepo Mimi ambao bado hatuna Watoto'' Ila yah One day ''Tukiwataka tutawapata tu''sema Muda wetu wakuwataka bado 'mbuta nanga''Pole my Super Mama Flora Lyimo ikiwa sijampata Mr Right na Ndoa kwanza ni Mwiko kuzalia Mtoto Nje ya Ndoa'' that is on Flora Lyimo Life Book'' Moja ya Vitu 14 ambayo nishaapa kuvitenda na siyo bila Mungu au Mimi mwenyewe kupenda vinaweza kutendeka au visitendeke,Ila Muamuzi ni Mimi na Mungu akiweka mikono yake ya baraka''habari ndiyo hiyo ''will call you baadae My Super mama'' Yani My Dear Sweet Mother I hope your Special Day is Blessed with Sunshine and Smile ,laughter ,Love and Bila kusahau Happiness Always'' NAKUPENDA KUPITA MAELEZO MAMA YANGU ''SUPER MRS LYIMO''NA MWANA CCM WA UKWEE ALIE KATAA NGUO ZA RANGI YOYOTE,,BUT GREEN ,YELLOW  ,BLACK NA BLUE,Yani My Super Mama ukimpelekea Nguo isiyo na hizo Rangi ujue kimekula kwako maana hutomuona kavaa hata siku moja'' Mbuta Nanga! KIDUM CHAMA TAWALA ,NA ADUM MAMA FLORA LYIMO AISHI MILELE NA MILELE 'AMEN''
Flora Lyimo ,She use to Go to Shirika la Bikira Maria wakati akiwa hajatoka Kijijini kwao Kilema Moshi Kilimanjaro na Miaka 15 kwenda Mjini ''na Mji wa kwanza kupitia ambao nilikuwa sijawahi kwenda was Arusha then Nairobi Kenya'ambapo nilijifunza kizungu na computer miezi minane na kuona aisee''nataka Hela sasa hapa kwenye hili darasa ninapata Hela ngapi na ninataka Krismasi niende Nyumbani na mabegi yalojaa zawadi za Mama yangu 'Bila kuwasahau ndugu zangu wote ''Yani hawakuniona tena darasani baada ya hiyo WAZA WAZA YA MIMANOTI ,Ndiyo moja kwa moja nikaingia kucheza Chakacha'' basi nilipotolewa kwenye Magazeti ya Kenya na Kwenye TV News ''mbona was majangaaa'Uwii sitakaa nisahau'' The New Queen of Chakacha'miss Flora Lyimo' Hadi nilipotoka Nairobi na kwenda Mombasa ,huko ndiyo kulikuwa Mambo yote na Jina nikapewa mpya' The Chakacha Queen Miss Florida'Waliniita Miss Florida kwa sababu ya Night Club iloniandika kazi 'kucheza Chakacha kila Usiku saa Sita was Show time'' (FLORIDA NIGHT CLUB ) Mombasa'Wazungu Waamerika walikuwa wameja Kipindi hicho ,siku izi hata sijui kukoje tena ,ila one day napenda niende nikakuone tena aisee was raha sanaaa ,Alafu Wazungu mimanoti waliokuwa wanakuja stejini kunituza was madola tu' yani kwa kweli nilipata Hela sana enzi hizo 'and Yes nikaanza kujenga Kijijini kwetu Nyumba ya Room Tisa was like ..sijaamini najenga nyumba ya bloku,na kuweka bomba,Umeme ,sim na TV ''which I AM SO PROUD OF MYSELF 'I WORK HARD AND LOVE TO TAKE CARE OF OTHERS'' THAT IS WHAT I LOVE TO DO AND MAKE ME HAPPY PIA'And you know what?''My  Mama was so Happy and always happy even now'' But kusema kweli ''she dont like me 'kuwa na Mzungu'' Usimwambie lakini''hiyo ilikuwa siri yangu na yeye''Hahaha'' I Miss you Mama yangu'eti Wazungu hawawezi kukupa Raha kama Mwafrika mwenzako na pia huko Ulaya utakuwa unaongea ukiwaza sana chakusema'kama ofisi ya kubadilishia hela'lazima ujue Hela ya Tanzania na ya Kenya ina badilishwa ka kiasi gani na Maneno yako na Wazungu ni hivyo hivyo'' lazima ufikirie neno la kiswahili kwa kizungu linatamkwaje ndipo uzungumze nao''hahhaaa''Jamani Mama yangu ni nomaa na namkubali sana''wacha niachie hapa nisitoboe siri zingine' Lingine ni kwamba enzi hizo za miaka ile ya tisini yani Wangenijua nilikuwa siyo Mkenya ''Uwii''Wangeniwekaje Jela tena kule shimo la tewa haswaa''siunajua lazima uwe na Kitambulisho kama wewe ni Mkenya,enzi hizo hata walikuwa wana Wimbo wao''(ukiwa mwana Kenya shika kitambulisho)ding ding,dinggg,oh aeeeee'hahhaa,naukumbukaaa''basi nilikuwa nina kakaratasi kangu ,kila wakinishika nikuwahonga viminoti wananiachia,sasa Hapa UK 'dhubutuuuuu'' Uwii'' Jamani Nishateseka ''yani nishaliwa sana Hela zangu na Watu wenye matawi ya Serekalini'' But thanks God ,sasa naweza kukaa na amani  '' Mbuta Nanga'' Tuendelee na huu Wimbo wa Bikira Maria'' Nilikuwa ninaimba Nyimbo zake kwa Miaka 15 ''na mpaka leo Mimi ni Mtoto mwema wa Mama Bikira Maria'' ENJOY NA MUOMBE SANA ''ATAKUSAIDIA KWA CHOCHOTE NA LEO NINAWAOMBEA SANA HASA YASHIKA ASIRUDISHWE KWAO LEO ,NA WALE WOTE WALIOPO YARLS WOOD DETENTION CENTRE UK'' MUNGU AWASAIDIE WAPEWE HAKI ZAO ZAKUISHI HAPA UK ''AMEN''
Flora Lyimo Fashion Police Blog'

No comments:

Post a Comment