Ezden apata mpenzi u.k
FLORA LYIMO NASIKITISHWA SANA NA HABARI HIZI ZA UWONGO ''
Hivi wewe ulie tunga hii habari nia yako hasa nini kwa kweli?'' Yani ingefaa ukanitafuta hata uniambie hiyo nia yako hasa'' maana umenistua sana aisee'' yani kiukweli Wabongo leo nimejua yale niliyoyasema kwamba habari nyingi ambazo huandikwa kwenye mitandao na hata baadhi ya magazeti ya huko Bongo ni uwongo mtupu huwa wanaandika ili mradi washapata kitu cha kuandika ,hivi ikiwa hamna habari 'si mzisafishe nyumba zenu au muende mkawapikie watoto yatima vyakula na kuwaogosha''
Kwa kweli hii ndio maana sipendagi kuchota na kumimina habari zozote kutoka bongo ikiwa sijazisikia kwa muhusika mwenyewe''sasa hii ya kwangu hapa ndiyo imenizibitishia aiseee''Bongo news ni HATAREE'' WACHENI UWONGO JAMANI'''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:
Post a Comment