MTU NA KAKA YAKE ,WIFI YAKE MTARAJIWA NA THE SUPER STAR MWENZAKE ISHA MASHAUZI (picha ya kushoto)AKIWA NDANI YA THE BAG PARTY KUWAPANGAWIZA WAALIKWA YA PARTY HII ,UNA AMBIWA DADA AMEKUJA ULAYA UK NA MAPAUND YA KUTOSHA'' YANI NAONA HAPAKUTOSHAAA''' MBUTA NANGA NI MIMI TU NILIKOSEKANA HAPO AISEE''' Da' Nusrat IM SO PROUD OF YOU MY SHOSTITAMU WANGU ''
Yani hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi kwa bidii hasa unapokuwa umepata Fursa ya kuishi majuu ''Na kuweza kufanya kazi ''Yani usiwasahau ndugu zako Nyumbani 'kama Vile anavyo fanya hapa Dada yetu '' Yani namuona ni kama Mimi hapa Flora Lyimo '' Na fanya kazi kwa Bidii ili niweze kuwasaidia Ndugu zangu na vile vile Mimi mwenyewe kwa Kuishi nipendavyo na nifurahiavyo '' Yani asiwadanganye Mtu Majuu hasa London kuna maisha mazuri sana ni Mtu kujipanga na kuamka fungua macho yako fanya kazi ''kuna kazi za kila aina hapa Mji mkuu'' Yani unaweza kujikuta una hela zako za halali hataree'' Sasa Mimi nawashangaa wale wanao Rudi huko Bongo na kuanza kuwatukana wenzao wanao ishi huku majuu '' kama huyu' LEMUTUZ''Leo sitaki kumtukana maana hii post inasomwa na watu wangu wa maana sana na naowaamini 'nakuwaheshim ,Vile vile nimeshaomba Mungu anisaidie kuwasharaza Fimbo wale adui zangu wote'' na Mimi sasa nimesema SIMTUKANI MTU TENA ''BALI KUMUAMBIA UKWELI WAKE TU''
MASHOSTITAMU NA MA'SUPER STAR WAWILI WAKIPENDANA 'WANAPENDANA KIUKWELI NA SIYO KIUNAFIKIFIKI'' WAPI WALE WANAFIKIFIKI TUSHAWATUPILIA MBALI ''MBUTA NANGA'' NO NEED OF FAKE FRIENDS'' TUNAJIKUBALI KAMA MNAVYOTUONA'' UKIONA MTU ANAE KUBALI KUKUBEBEA MZIGO WAKO TENA MZITO ''BASI HUYO NI RAFIKI WA UKWELI'' KUWENI WAANGALIFU MY DEARS'' SIYO WOTE WANAOWEZA KUKUBEBEA MZIGO WAKO MZITO NA HUKU WAKIWA NA WAKWAO MZITO ZAIDI''' I LOVE YOU MY SHOSTITAMU WANGU AND I MISS YOU MBAYAAAAAAA'''Flora Lyimo Fashion Police'' The top in Town 'habahatishi eeeeee''
Mama mzaa Chema na the Super Star wa Bongo Movie Da'Nusrat Semtawa na Mama yake '' Mama Shikamoo Mama''Hakuna kama Mama zetu jamani be Proud of Your Mama''
The Mboni Show ndani ya Flora Lyimo Shop in Oxford Street London mtaa wa mapesa'' Hebu nyie mnao tapa tapa 'jiulizeni how we do it and not how you want us not to do it'' Jueni kwamba Riziki hazitoki mikononi mwa Binadam wala kiumbe yoyete'' Riziki zatoka kwa Mungu'' Sasa mnapo fukuzwa huku Majuu msirudi huko Bongo na mahasira kututukana sie huku majuu eti watu hatuna mpango ''yani siyo lazima kuwaonyesheni what we do or have but kumbukeni kwamba HAKUNA KAMA ULAYA'' Tena London kuna madili hataree''na Tunaishi maisha powa sana 'Vile vile tunawasaidia Ndugu zetu na Mimi Flora Lyimo binausi nawasaidia Watanzania wenzangu ''japo ndiyo naanza mdogo mdogo wengi wameshafaidika mdogo mdogo na wataendelea kufaidika mdogo mdogo ''hatuna haraka sie'' Flora Lyimo Opportunity 2014 ni mpango mzima wa BIASHARA ''Eiza unajifunza au unajiendeleza a kujijenga zaidi '' nipo pamoja nanyi kuwafunza na kujenga pamoja nanyi'Ikiwa wataka kujua zaidi about Flora Lyimo Opportunity 2014 karibu whatsApp +44 7787471024 nipo anytime''
Ma'super Star wa ukweli wakutana na warushaje Roho za wale wasiopendhao maendeleo na shughuli za watu sasa'' Mimi Penda nyie kinomaa'' hawhahahahahaaa''kicheko chao hichoooooo''wamedondokaaaaaaa''' Mbuta Nanga'''
Da'Nusrat Semtawa Dada la mapaundi kachuka nazo Bongo za kutosha ''na kapendezaje sasa'' yani Sherehe za Harusi ni Jumamosi 23/08/2014 'I cant wait '' Najua patakuwa hapatoshi 'mimi Isha Mashauzi ananiwakilisha ''Picha zitakuja jamani msiache kurudi kwenye hii Blog yenu ya mamishapo ya ukweliiiii''
Hapa patamuje sasa'' The Cake ya Kaka Rajab Semtawa ya Bag party kitu cha shirt siyo mchezo '' na (kulia ) ni MR & MRS SEMTAWA TO BE'''MREMBOJE JAMANI ''Kweli Da Nusrat Mmepata jiko powa sana'' Alafu hadi wamefanana hasa kwa twabia'' jamani watu wanapoamua kuowana jueni tabia zao zimesha fananaaa'' Hii Bag party imehudhuriwa na Dada yake kutoka London Super Star Nusrat Semtawa'' Wakilisha wakilisha shostitamu wangu ''mambo ni kama haya sasa'' waonyeshe kina Lemutuz the things you need to do to others ''hasa Ndugu zako ''siyo una kaa kwa Baba yako mtu miaka 60 bado una lala kwenye club ukitafuta wanawake wakupiga picha za kurusha mitandaoni '' yani badala utafute hata mke uowe utulie na kikubwa badala utafute namna ya kurudi Marekani sababu una watoto na mke kule ''wewe ni kuwatukana wenzio waliobaki majuu Na Flora Lyimo aliekataa kukuowa kwa njia ya kupata makaratasi uje UK '' Tena zaidi 'HASIRA wewe umefukuzwa Marekani'' kufukuzwa kwako Marekani ni uzembe wako na umburula wako'' na hilo lipo wazi kwa hiyo kaa kimnya usitutangazie shida zako zisizo na mpango wakusaidiwa hata kwa mia moja shilingi ya Tanzania'' yani unaona hizo digrii zako zote unazotamba nazo kama mwanamke mitandaoni zimekupa faida gani haswaa? Hebu jiulize kwa kweli maana wengi kama Mimi huku nashindwa kabisa kukuelewa'''HIVI WATOTO WAKO WEWE HUONI WANAKUITAJI ? Licha ya Mkeo ? wenzako huku Ulaya wanatafuta kuzaa na Mwanamke yoyote ili wapate kukaa huku wewe unakimbia Watoto kabisaa'' Mbuta Nanga!!
No comments:
Post a Comment