FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
NAPENDA KUWASHUKURUNI WOTE 'WATANZANIA WOTE KWA KUHAKIKISHA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA UMEFANYIKA KWA AMANI NA KUMALIZIKA KWA AMANI '' PIA NAOMBA KUMPONGEZA
BABA YANGU''Yes'' MY DAD 'YOU KNOW NOW' WAKUJIBANDIKAA'' MH.MAGUFULI IM SO PROUD OF YOU '' I THANKS GOD 'KASIKILIZA SALA ZANGU PAMOJA NA ZA WANA CCM WOTE '' JAPO KWANGU NI MAJONZI NA FURAHA'' Naweza kusema YESU ASANTE KWA KUWA UMEWEZA KUNIPA NGUVU YAKUWEZA KUANDIKA HAYA BILA KUWASAHAU WATANZANIA WENZANGU MY FANS AND MY FOLLOWERS 'ILI WAPATE HABARI ZAO KUPITIA KWA THE ONE AND ONLY MBUTA NANGA IN THE WORLD'' SO SAD THAT NIMEFIWA PIA'' EEE MUNGU UWAPOKEE SALAMA WOTE WALIIAGA DUNIA KATIKA HALI YA NEEMA''AMEN''
RAHA RAHANIII RAHA RAHATU'
MH.MAGUFULI WANGU BABA YANGU MUNGU AKUPE MIAKA MINGI NA AKUONGOZE UWEZE KUTUONGOZA SALAMA AMEN'' TANZANIA NI YAKO MH.MAGUFULI RAIS WA WATANZANIA WOTE'CCM OYEEE''
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.