
Wall Phot
By Edwin Ndaki ·
--------------------------------------------------------------------------------
Hospitali ya kuu ya Taifa la Tanzania,majerui kalazwa sakafuni na kigodoro..haya ndio maisha bora?Angekuwa kiongozi au familia yake angelazwa chini kweli?
.Added 8 minutes ago ·LikeUnlike ·
Sarafina Lindiwe Msuya-Lacroix likes this..
Sarafina Lindiwe Msuya-Lacroix Wangekuwa nje ya nchi!!!!
6 minutes ago · LikeUnlike · 1 personLoading....Edwin Ndaki Yaani this is so sad sarafina..hapo chini mavumbi yenye,mkononi anavyuma usiku mbu yenye..yaani kweli hii inaumiza sana mlipa kodi myonge anavyonyanyaswa..alafu watu bado wanaleta issue za siasa za kijinga..eti maisha bora
2 minutes ago · LikeUnlike.Flora Bahati Lyimo aaaa,, MUNGU WANGU ,, ILA AFADHALI WANAPATA MATIBABU ,, ni sababu ya ukosefu wa vitanda kwa ajili ya wagonjwa wengi .AU ?
about a minute ago · LikeUnlike.
No comments:
Post a Comment