KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 21 February 2011

YOU BEEN SNAP* HERO NEWS* THIS TIME IS FOR BLACK RHYNO.MISS FB LYIMO SAY: GOD BLESS YOU MY DEAR.NA AKUPE MAISHA MAREFU HAPA DUNIANI.RUWA MANGI!


Friday, February 18, 2011BLACK RHYNO NI SHUJAA KATIKA MLIPUKO WA MABOOM GONGO LA MBOTO!!!
Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Google Buzz

Black Rhyno ni mmoja wa wasanii wa Hip-Hop Bongo Flava wanaofanya vizuri kwenye muziki huo. Leo hii imetokea msaani Rhyno kuwa mmoja wa mashujaa walio okoa watu kwenye mlipuko wa mabomu uliotokea huko Gongo la mboto jiji Dar-es-salaam. Akiwemo mwanamke mja mzito aliyeshindwa kutembea.
Akiongea na Total Knockout leo akiwa nyumbani kwao ukonga ambapo ni karibu kabisa na Gongo la Mboto, Rhyno alisema:

Rhyno: "mi naishi ukonga pale magereza ambapo ni karibu na Gongo la Mboto so it was very terrible to experience that TK"




TK: omg!!! Are you okay?...Rhyno: " I'm ok sema i was driving mabomu yanadondoka nyuma yangu ilikua hatari sana teddy seriously"




TK: Oh my god!!!That is very scary...ulikuwa unaondoka kutoka nyumbani?... au yalivyoanza tu kulipuka ukadrive kukimbia?

Rhyno: "yalivyokua yanaripuka nikawa nakimbia kutoka home kuja city centre"


TK: pole sana Rhyno...jambo ulilofanya ni lakishujaa...kama kwenye movie vile
Rhyno: "true dat thanx alot teddy, so nilipokuwa njiani nilifungua mlango nibebe waliokua wanakimbia kwa miguu, ila kwa woga na wasi wasi uliojawa na watu, ili bidi nibebe watu wangi zaidi ya ukubwa wa gari langu nililokuwa naendesha. Nilivyofika tazara kuna mama mjamzito alikua hawezi hata kutembea analia tu nikasimamisha gari nikambeba mbele hivyo hivyo ingawa gari ilikuwa imejaa sana"



TK: oh wow!!! You are the HERO Rhyno!!!

Mungu am'bariki Black Rhyno kwa jambo zuri alilolifanya.

No comments:

Post a Comment