KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 26 March 2011

Flora Mvungi abadili dini.

Miss FB Lyimo say. why not if that is what make you BOTH happy'

maisha mafupi haya na watu ni maelewano kati yaWAWILI'hasa wanapokuwa kwenye mapenzi yao ya ukweli ,wengine wote watakuwa wafuasi, wasomaji na wapenda habari kama mimi  hapa FLORA BAHATI LYIMO.Ruwa Mangi.

Na Hemed Kisanda
Sistaduu anayefanya kweli ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi (pichani) amebadili dini na kuwa Muislamu baada ya kudatishwa na mahaba ya mchumba’ake, Hamis Ramadhan Baba ‘H. Baba’.

Flora aliingia kwenye dini hiyo hivi karibuni baada ya ‘kuslimishwa’ katika msikiti mmoja uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kupewa jina la Khadija.

Akizugumza na gazeti hili juzi msanii huyo alisema kuwa, amechukua uamuzi huo baada ya kubaini kuwa, hakuna mwanaume mwingine atakayetokea mwenye vigezo vya kuwa mumewe.
“H. Baba kwa sasa ndiyo kila kitu kwangu, nimeamua kuslimu kumfuta yeye nikiamini kuwa safari yangu ya mapenzi imefikia mwisho kwake.
“Ni uamuzi wa kijasiri kutokana na mapenzi yangu kwa Hamis (H. Baba) na nina imani naye atalithamini penzi langu na tutaishi kwa furaha na amani,” alisema Flora.

Alipoulizwa kuhusu kula kitimoto ambacho kwa dini ya Kiislamu ni haramu, mwanadada huyo mwenye mvuto wa aina yake aliishia kuguna bila kutoa jibu.

Flora na H. Baba ni wachumba wanaotarajia kuingia katika maisha ya ndoa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu.
 

ILA FLORA POLE SANA NDUGU YANGU HAPA SIWEZI KUSEMA MENGI SANA.

Mrs Agnes willy(good mother) Comment by Mrs Agnes willy(good mother) 12 hours ago
MH FLORA DADA WEWE! HAYA.
Glady-Cath (Engaged) Comment by Glady-Cath (Engaged) 12 hours ago
hongera flora nakutakia kila lakheri na h.baba
BEATRICE JAMES Comment by BEATRICE JAMES 12 hours ago
YASIJE YAKUKUSHINDA BADAE  UKIACHWA!!
seda kibonge Comment by seda kibonge 13 hours ago
Kubadili dini kwakufata mume haihusuuuuuuuuuu bibi coz we umefata dududu tu sio imani so unajidanganya mwenyewe hapo unapenzi na bwan sio imani hovyooooooooo
disminder SY Comment by disminder SY 13 hours ago
Muhimu uamini ki Haki Lillahi
Juma Mahundi Comment by Juma Mahundi 13 hours ago
poa kila mtu ana uhuru wa kuamua kutokana na haki za binadamu bila kuvunja misingi ya haki hizo hongera mrembo kwa hilo lakini liwe la kweli byeeeeeeeeeeeeee
LOLIONDO Comment by LOLIONDO 14 hours ago
MH! FROLA KWISHNE

No comments:

Post a Comment