KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday 15 March 2011

YOU BEEN SNAP* SAD NEW'S " R.I.P MODIBO KEITA" MUNGU AWAPE MOYO WA UTULIVU WOTE WALIOPATWA NA MSIBA HUU .AMEN" BY MISS FB LYIMO"

Marehemu Modibo Keita enzi za uhai wake
Kwa niaba ya familia ya Mtemvu tunawaarifu kwamba mazishi ya ndugu yetu Modibo Keita yatafanyika Jumatano tarehe 16 March 2011.

Misa ya kumuombea marehemu itafanyika kuanzia saa saba kamili mchana; katika kanisa la Our Lady RC Church,
Our Lady Presbytery,
Raby Street,
Moss side,
Manchester.
M16 7JQ.

Mazishi yatafanyika baada ya misa katika southern Cemetery,
212 Barlow Moor road,
Cholton,
Manchester.
M21 7GL.

Baada ya mazishi tutakutana kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Keita kwenye ukumbi wa kanisa la Our lady Presbytery, Raby street, Moss side. Manchester. M16 7JQ. Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, libarikiwe jina la Bwana.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ibrahim Mtemvu: 07556361118
sixbert: 07833794013.
Nanyorry Mwasha: 07956397149

No comments:

Post a Comment