
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote:
Tunapenda kuwa taarifu kwamba mazishi ya ndugu yetu marehemu Edgar Kileke (Kaka Dick) PICHANI "yatafanyika:
JUMATANO Tarehe 29 June 2011
IBADA ITAFANYIKA:
LEICESTER CENTRAL SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH
LONDON ROAD
LE2 1EF
LEICESTER
MUDA: SAA NNE KAMILI ASUBUHI (10AM)
MAZIISH YATAFNYIKA: GILROES CEMETRY
Na baada ya mazishi kutakuwa na huduma ndogo kwa wafiwa yaku toa shukurani:
85 STEVENSON DRIVE
LE3 9AD
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:
NDUGU Assa Ali 07951644936
au
Fauzia Musa 07943962628
Asanteni sana na Mungu awabariki.
R.I.P EDGAR--
*MKILETEWA HAPA NA FLORA LYIMO DESIGNER*
No comments:
Post a Comment