KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 25 July 2011

* YOU BEEN SNAP* MORE PHOTS OF MISS FB ,AKA" FLORA BAHATI LYIMO,AFIKA NYUMBANI KWA AMY WINEHOUSE KUHAKIKISHA KIFO CHAKE ON DAY TWO, BAADA YA KIFO CHAKE,KILICHOTOKEA NYUMBANI KWAKE JUMAMOSI 23-07-2011.LEO 24-07-2011 NI JUMAPILI YA KWANZA TANGU AFARIKI, KUMSALIA ROZARI NA KUIMVISHA PICHANI., NDICHO NILICHOONA MUHIM KWAKE LEO, R.I.P. AMY. I LOVE YOU NA SITAKAA NIKUSAHAU MILELE"

VIATU ,VIATU" SIJUI NIVAE VIATU GANI,KAZI KWELI KWELI"




ROZARI NI MUHIM SANA , HASA KWA KINA MAMA/DADA, OMBENI SANA ,
BIKIRA MARIA ATUHIMIZA TUSALI ROZARI NA KUZIBEBA KWENYE MABEGI YENU.
JUST LIKE THE ONE IN MY HAND"





















ROZARI PICHANI IMEWEKWA NA MISS FB" aka ,FLORA BAHATI LYIMO.
BAADA YA KUMSALIA NAYO TOKA NYUMBANI .R.I.P . AMY DEAR,
 MAMA MARIA KESHAPOKEA SALA ZANGU.
I HOPE UTAPATA KUKUTANA NAE HUKO MBINGUNI"

MMOJA WA WAISHIO CAMDEM, HUYU MDADA ALIKUWA ANASUMBUA SANA,
SIJUI NAE KAMA NDO KALEWA AU VIPi.ALIKUWA ANAULIZA VITU
AMBAVYO HAVIPO NA HAVIUSIKI NA MSIBA HUU KABISA.
 YANI NIKUBAKI KUCHEKA ,NA HAPO MWANGALIE CHUPI NJE " Ruwa Mangi"

GLORY ,ALIKUWEPO PIA, PICHANI BAADA YA KUWEKA UWA LAKE
 LA UPENDO KWA AMY"
WAS NICE KUKUTANA NAWEWE DEAR..
PAMOJA TULIWAKILISHA WATANZANIA WOTE.

MY MAN, MR P. @ OUR HOME AKIFURAHIA VITU VYAKE AVIPENDAVYO VYA KIBONGO!!

I LOVE MY HOUSE, MWANAMKE USAFI NA NYUMBA INUKIE MARASHI YA UPENDO.
FRESH FLOWERS ,YA KUCHANUA MAU, NA YASOCHANUA MAUA.




JUA NI MUHIM SANA,,HATA NJIWA WANAJUA HILO"WAONA WANAVYO LIOTA,
MAUMIVI YA JUA YAKIZIDI WANAKIMBILIA CHINI YA MTI.

2 comments:

  1. What a coverage!!!am sure Amy will be smiling down on you from where she is right now!...Thanks for keeping us posted,luv :-)

    ReplyDelete
  2. Thanks to you too Missie Popular, she is happy that you say that to me,im sure she want to say that to me but she just cant ,,but now i know she ask you to do so..lol...you know what im sayn..right" love you always hun :-)

    ReplyDelete