Happy people Miss FB -Flora Bahati Lyimo & the Birthday Girl,was there kuonyesha upendo na umoja wangu, lakini cha kuwaeleza ni kwamba,tulipoingia mimi na Rahim tulikuta watu wameshaingia ingia wakikuwepo kwenye meza ya pamoja na Birthday Girl , Mimi sikutaka kukaa hapo kwani kukaa kwangu pale na kuwaona Mke mwenza Fifi na Peter na vile Peter alivyobila furaha niliona heri niende nikajikalia kando na zawadi zangu na my make-up boy Rahim ,ndipo hata Birthday Girl na Mmme wake waligundua hilo na wakaja kwenye meza yetu na nikampa zawadi yake birthday Girl ,na tukawa wote tupo pamoja "full kujipa maraha mie ..cha muhim ni kwamba i was there for Birthday Girl and for maraha zangu mie mtoto wakichaga raha najipa mwenyewe kwa juhudi zangu na baraka zake mwenyezi Mungu. Habari ndo hiyo "
;JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? wacha maaoni yako bila matusi lakini" |
No comments:
Post a Comment