MAREHEM PICHANI MISS FB SAY: SO SO SAD,POLENI SANA MLOPATWA NA MSIBA HUU.MUNGU AWAPE NGUVU ZA UVUMILIVU"
*Marehemu Upile Msamati*
Prof Boniface C. Msamati na Bi Felistas Msamati wa Dar es salaam;
wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Upile Msamati kilichotokea jijini London Uingereza taraehe 14/ 10/ 2011.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Jet Lumo Dsm. Mazishi yatafanyika mara baada ya taratibu zote kukamilika. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote walipo.

No comments:
Post a Comment