On STAGE?" OH YES " here i was thinking of you REMMY ONGALA, THIS WAS KIFO HAKINA HURUMA..
Kifoo ,kifoo, kifo hakina huruma"x2 kifoo ,kifoo,ukitaka kujua ubaya wa kifo , fika mahospitalini ,utakuta wengne wanalia,wengine hawana miguu tena, wengine wana vidonda, wengine wanavipele, wengine wamezaa watoto wamekufa.Shauri yako wewe kifo ,kifoo kwanini unatusumbua, tumezaliwa shauri ya kuishi, ulimwengu bila watu siyo ulimwengu tena, kifoo ,kifoo kwanini hauna huruma., R.I.P. REMMY ONGALA, R.I.P. MY DAD BASILEI LYIMO .R.I.P. WALE WOTE MNAOTUTANGULIA KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI .AMEN" |
No comments:
Post a Comment