![]() |
Marehem Mina alovaa sweeta nyeupe ,pichani na Missy Temeke" |
Kisomo cha Arobaini ya Marehemu Mina;

Kwa wale watanzania wote wanaoishi hapa Marekani, Mnataarifiwa Arobaini ya dada yetu mpendwa Marehemu Mina itakayofanyika siku ya Jumamosi October 29,2011 saa 11 jioni(5:00pm)
Address ni 1615 E.Randolph Rd, Silver Spring,MD
(ilikofanyika Birday ya Jayden,mtoto wa Halima Ali)
Kwa maelezo zaidi Margaret Waheeda Gathesha-301 915 5821
Khamisa Matope-301 910 4634, Halima Ali -240 988 4242
Salma Jayjay-240 330 3670
Ukipata Taarifa hii mjulishe na mwenzio
Miss FB-Flora Bahati Lyimo say: japo sipo Marekani nipo nanyi katika sala na MUNGU AMJALIE MAHALI PEMA PEPONI
*AMEN*
your so lovely flora,thanks so much for your love and support. Mina friend.
ReplyDelete