Miss Flora Bahati Lyimo & the one and only CUTE A-K ALIPOKUJA KUTUONYESHA HOW HE DO MAMBO YAKE KIUKWELI HAPA LONDON " |
MY DEARS NATUMAINI HAMJAMBO POPOTE PALE MLIPO" HILI NI WAZO AU FEEDBACK YANGU KWA WALE WOTE MNAO HUSIKA NA KUTULETEA WAPENZI WAIMBAJI WETU AU MASTAR WETU WA AINA YOYOTE KUTOKA TANZANIA. (1) KUWENI WATU WAUKWELI NOT FAKE AND ON TIME" ( 2 ) TAFUTENI SEHEM NZURI ZAKUTUONYESHEA MAMBO YAO NA SIYO KWA VINUKA MIKOJO MTU UNAOGOPA HATA KWENDA KUJISAIDIA" (3 ) HAKIKISHA NANI ANAPOKEA HELA ZA TUKIO HILO NA ANAWEZA KUJIBU MASWALI ATAKAYO ULIZWA AND ON TIME" NA ASIWE PALE KUJIPA NAFASI YAKUTAPELI WATU NA HUKU MPAKA KUSEMA YEYE NDO MUHUSIKA WA KUWALETA AU KUMLETA STAR /MASTAR HAO" ALAFU UKIMPIGIA SIM HAPOKEI KESHAINGIA MITINI NA PESA ZAKO HATA USIZIONE ( 4 ) UNAPOKUBALIANA NA STAR / MASTAR HAO BEI YAKUWALIPA, HATA KAMA HAKUNA MTU NI LAZIMA UMLIPE KWA MAKUBALIANO YENU YA MWANZO,NAYEYE NI LAZIMA AJIMWAGE UWANJANI" SIYO KUTOKUMLIPA MLIVYOKUBALIANA ETI KISA WATU HAWAJAHUDHURIA WENGI" (5) MSIWATAPELI WADAU WALOHUDHURIA KWA KUWAPA MASAA MENGI YAKUWASUBIRIA MASTAR /STAR HUYO NA WANAPOFIKA KUTUMIA MASAA MACHACHE NA SHUGHULI KUMALIZIKA,HIVYO NDO MAANA WENGI HAWATAFIKA KWENYE SHUGHULI ZENU KWA SABABU YA UTAPELI HUO" JAMANI TUWENI WAASTAARABU NA WATU WENYE KUTAKA MAENDELEO ..IGENI KWA WAZUNGU MPO ULAYA . KUWENI WAUKWELI .FANYENI KWELI" NI HAYO TU .SIMNAJUA MIE ( MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO )NAWAPAKULIENI .MLE MSILE NJAA NI YENU .MBUTA NANGA!
hahahha, aminia mtoto wakichaga, ulimpa vitu nini, mbona ali kiba hapo kafurahi kulikoni.basi mokaowane kabisa ,mnapendezeana ,mbuta nanga"
ReplyDeletehilo nalo neno miss fb, kweli wanaudhi sana,na wewe ndo unawafaa, i hope wote wangelikuwa wana nafasi yakuweza kusimaa au kuwapa feedback kali na ya ukweli kama wewe.tena wangefaa wakulipe.ni mimi mdau wako wakila siku ,i love your blog you been snap blog of the year KWELI KWELIIIIIIIII....KEEP UP THE GOOD WORK AND GOD BLESS YOU MISS FB.
ReplyDelete