KWELI VITU VISIVYO NA MPANGO TANGU LINI VIKAPANGIKA !
KUDADADEKIIII...JAMANI NYIE MNAOHUSIKA NA KUTULETEA MASTAR - (WANAMUZIKIII!!)WETU HAPA UK -UINGEREZA ..MBONA MNATUKUNAKUNA PAHALI HAPAFAI ? HEBU TUELEZENI KWA MISTARI ILONYOOKA NA MANENO YENYE UKWELI ? HII TANZANIAN 50 YRS YA UHURU .HATA NDO WEEK IMEANZA NA SIKU YENYEWE RASMI NI 9-12-2011. MMESHALETA MASTAR NA KUONDOKA ? ALAFU HUKU TWAAMBIWA WAPO. MIMI LEO HII NASOMA MAHALI . Twanga waondoka Uinge...reza baada ya kumaliza MIAKA 50 ? YA UHURU .Waelekea Tanzania walikotoka " HOW COME ? na huku TUNA MATANGAZO YANAYOSEMA WATAKUWEPO KWENYE SHEREHE HIZI RASMI ZITAKAZOFANYIKA 10-12-2011 @THE ROYAL BANQUETING SUITES. NA VILE VILE ALI KIBA ? SO WHAT IS GOING ON ? HUKU UKIWAPIGIA SIM WAHUSIKA HAWAPOKEI SIM ,wanajua wamesha CHEMSHIANA" HAYO SI MALALAMIKO YANGU PEKE YANGU BALI YA WENGI. TUAMBIENI KITU KIELEWEKA LA SIVYO WATU HAWANA PESA ZA KUCHEZEA . WENGINE WANASAFIRI KUTOKA MBALI. YANI WATANZANIA JAMANI MBONA HATUAMKI ? YANI NI AIBU MAMBO TUNAYOYAFANYA .SIJUI KAMA NI MAKUSUDI , KIUGOMVI AU KIWIVU , kwanini wewe uwalete mimi nisiwalete,kwanini wewe upate pesa mimi nisipate .KHAH ?...WATU WALONDON MPO ??? .




WANATUUDHIJE ?? ALAFU HUKU WANAKUINBOX MATANGAZO NIWEKEEE KWA YOUR BLOG AU WANANITAG FACEBOOK. SASA WANATAKA SIE WENYE KUTANGAZA HIZO HABARI NDO TUONEKANE VIPI ????,KUDADADEKI ...KWELI WANATAKIWA WAAMKE.LA SIVYO HAMNA MTU ATAKAE ENDA POPOTE KWANI NI HERI HATA WATU KUJIITANA NA KUFANYA PARRTY ZENU MAJUMBANI KWENU " NA VILE VILE HAO MASTAR-WASANII WATAMBUE KWAMBA SISI WASHABIKI NDO TUNAWAFANYA WAFIKE WALIPO AU WANAKOTAKA KUFIKA NA KUTAMBULIKA. INAPOFIKIA PALE PA PESA ZA SHOW ZAO ..WAWE NA BEI ZAKIUNGUANA...NA SIYO WANAJIFANYA KUWAPA MABEI YA JUU..HUKU WENYE KUWALETA MPAKA WANASHINDWA KUWALIPA....MY POINT IS ...WAELEWANE BEI KWANZA NA KUTILIANA MASAINI ...KABLA YAKUTANGAZA MATANGAZO YAO .ALI KIBA ATAKUWEPO .SO AND SO .ALAFU UNAKUTA .HAKUNA CHA ALI KIBA WALA TWANGA!!!
ReplyDeletekweli hapo umeongea la ukweli mana kl ikifika cku ya kusheherekea uhuru wa TZ hapa UK km mwaka juzi huwa WANATUTOZA kiigilio kikubwa sabu wanatudanganya kutakuwa wasanii live,bendi live kututumbuiza na mgeni rasmi ni balozi..then tukiingia humo ndani ya ukumbi hatuoni cha bendi, mwimbaji yeyote na hata cha mgeni rasmi mpaka mwisho na wala excuses hawatupi..tunakuwa teyari tushaliwa pesa zetu,tubadilike jmani HII SIYO JINSI YA KUTAFUTA PESA BALI NI UTAPELI MAMBO LEO..MNAJIHARIBIA SOKO..WALENGWA TUPO ULAYA HAPA.
ReplyDeletesorry! tumechoka kutapeliwa ktk hizo advert zenu km mna njaa tafuteni pa kuipeleka...hatujiiiii.mtawapata hao hao ambao majumbani kwao hapakariki kutwa vita.
ReplyDeleteANONYMOUS OF 17:37 POLE HAUPO PEKE YAKO DEAR, NA HIZO ADVERT NDO ZINATOKA KWA WAHUSIKA. na wanapofanya hivyo hata kuwapigia sim ili kujua nani anasema LIPI LA MAANA hawapatikani...so yah ...WALE MAJUMBANI KWAO HAKUKALIKI NDO WATATAPELIWA KINOMAA....
ReplyDeleteThanks na pole ones again !
anonymous of 17:30. YAH ,ASANTE SANA KULIONA HILI JAMBO KUWA LA UKWELI..YANI MIMI NIMEBAKIA KUPOKEA SIM ZA WADAU ,ALAFU NASHINDWA LA KUWAAMBIA, NIKIWAPIGIA SIM WAHUSIKA HAWAPATIKANI.HAPO WANAJUA KOSA LAO..SO KUTOKUPOKEA SIM NDO KUSEMA POLE KWA WANANNCHI AU WASHABIKI ? yani ni kama mgonjwa kupewa madawa na asinywe na huku MGONJWA NI YEYE!NA KIFO KIKITOKEA ,KI CHAKE....jamani kweli ni AIBU MNO ..SIJUI HATA WAPIGIWE NGOMA GANI ILI WASIKIE...Puuuuuuuuuhhhhhh...pengine MATARUMBETA!
ReplyDeleteNAWE POLE NA PAMOJA MDAO"