KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 7 December 2011

*YOU BEEN SNAP* MY BEST INDOOR XMAS DECORATION . MISS FB-Flora Bahati Lyimo NDANI YA THE RITZ HOTEL IN LONDON MAYFAIR " JIONEE VITU VYA KIMALIKIA MALIKIA"

Huu ni moja wapo ya miti ya Christmas iliyopo karibia pande zote za hoteli hii"





Angalia vizuri hapa, utaona kabirika cha chai .si mchezo!

vibirika vya chai mwaviona lakini"

                                         hapo juu kuna vichwa vya wanyama "
sasa anza kufikiria cha kununua hapa.yani pesa ya mfanyakazi ya mwezi mzima na zaidi huko Bongo kwa wakati mmoja kwa kitu kimoja" mbuta nanga!

kitu ndani ya box.



karibu sehemu zote zina meza yenye mti wa xmas!!


hapa nimekupigia picha ya karibu iliujionee mambo ya Kimalikia vizuri "

mewavutia ndani zaidi ,mwaona vijimambo vya Malkia hapo.yani si mchezo I love everything !


na hapa ni ndani ya lifti .ukingia tu.ndo unakutana na vijimambo vya kuvutia"




hizo ndizo bei zao, mshahara wa mwezi na zaidi za mfanyakazi wa kawaida huko Bongo!

picha za kama malaika vile, juu ukutani "yani Room karibia ya zote zina vijimambo vya kuvutia"

hiki kivintage kiti nimekipendaje!!

HANYO NDO MAMBO YA VIJIMAMBO VYA MWAKA HUU KWA AJILI YA MAANDALIZI YA XMAS 2011 "NDANI YA RITZ LONDON "
Picha By Miss FB -Flora Bahati Lyimo :
your Desgner & Photographer.
any say : Tel: 07787471024

No comments:

Post a Comment