KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 5 December 2011

* YOU BEEN SNAP* NDUGU ZANGU WATANZANIA NINGEPENDA KUWAKUMBUSHENI KWAMBA HII WIKI NI WIKI YA WATANZANIA .KWA KUJIANDAA KUSHEREKEA MIAKA 50 YA KUJINYAKULIA UHURU WETU " JE UNAJIVUNIA NINI NDANI YA MIAKA HII 50 ? NA UNGEPENDA KUONA MABADILIKO GANI ? WACHA COMENTS /MAONI YAKO HAPA .AU tuma email.flo1974@btinternet.com HAPPY UHURU DAY NYOTE.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VITU VYOTE VILIVYO NDANI AU NJE YA TANZANIA .AMEN" AIKA RUWA MANGI"

 "MISS FB -Flora Bahati Lyimo.hizi picha zimepigiwa hapa UK -UBALOZINI "
KWA JINA MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO MTANZANIA HALISI 100%NIMEZALIWA MOSHI KILEMA TANZANIA.
 NAAMINI MTANZANIA HALISI NI YULE ANAYEIPENDA NCHI YAKE ,KUJIVUNIA NCHI YAKE , ANAWAPENDA WATU WAKE,ANAPENDA UTAMADUNI WAKE ,ANAPENDA MAENDELEO.ANAPENDA UMOJA, ANAPENDA AMANI .NA PAMOJA NA YOTEE .ANAYE PENDA KUFANYA KAZI KWA AKILI ZAKE ,MIKONO YAKE AU KWA NJIA YOYOTE ILE BADALA YA KULALA"
     "MIMI LEO NAJIVUNIA YAFUATAYO NDANI YA 50  YRS YA UHURUWETU WATANZANIA"
Na najivunia hasa Nchi yangu TANZANIA hata mpaka sasa hivi nina uhuru wa kupewa Passport ya hapa UK lakini nimekataa ,kwa sababu MIMI NIMTANZANIA HALISI NA NAPENDA MTU ANAPONIULIZA KAMA MIMI NIMTANZANIA; JE NINAKITAMBULISHO ? na ndipo hapo nimuonyeshe PASSPORT YANGU YA TANZANIA. mimi sielewe ni kwanini watu kuzibadilisha ,si ni bora ushapewa stay yako .na hiyo stay ipo ndani ya Paspt yako ya Tanzania. chakubadili hapo .mimi ningewaomba WATANZANIA WOTE WASIKATAE UTANZANIA WAO NA KUJIDANGANYA KWA PASPT ZA NCHI ZA WENGINE..NIKAMA KUFIKA TANZANIA OFISI YA RAIS NA KUKUTA BENDERA ZOTE PALE NI ZA MATAIFA MBALI MBALI NA HAMNA HATA MOJA YA TANZANIA.SO JIVUNIE NCHI YAKO WACHANA NA ZA WATU" HAPA KWAO TWATAFUTA PESA ..NA TUFIKIRIE KUJENGA KWETU" KUMBUKENI WAKIAMUA KUTUTIMUA HAPA ..HUTARUDI KWENU NA NYUMBA ULOJENGA HAPA AU ULONUNUA HAPA.HATA PESA MSIWEKE BENK ZA ZIADA.WEKA BENK YA TANZANIA.HIVYO NDIVYO NAVYOFANYA.MAANA NAIPENDA TANZANIA HADI KUFA"NA NAJIVUNIA KAZI ZA MIKONO YANGU PIA.MIMI KWA SASA HIVI NI KAMA MPIGA PICHA ,MTANGAZA HABARI YOYOTE "POPOTE BORA INIFIKIE AU NIIONE " NA KAMA ANAVYOZIONA KAZI ZA MIKONO YANGU ,KNIT & CROCHET WEAR FOR YOU AND YOUR HOME" NAWEZA KUBUNI NA KUTENGENEZA VITU VINGI SANA.SEMA MUDA NDO SINA WAKUTOSHO " AND HERE IS VITU VYANGU VITATU THAT I LOVE DOING (1 )KNIT & CROCHET ,(2)PHOTOGRAPHER  AND (3)DANCE"
                                 *MABADILIKO*
MIMI kwa sasa hivi sipo huko nyumbani lakini kila siku naongea na ndugu zangu na pia naongea na WATANZANIA wengi walokuwepo huko na kuna mambo mengi sana ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho .kama vile UMEME, MASHULE YA BURE , HAHOSPITALI YA BURE  NA MASAFI YENYE KUTOA HUDUMA KAMA ZA MAHOSPITALI YA KULIPIA.
Alafu lililonigusa sana ni juzi WINNIE KALINGA kifo chake huyu dada kilinisikitisha sana na vile vile watu wengi mno, vile alikufa baada ya kumzaa mwanae.Hakijajulikana VIZURI kwa pale tunahitaji kuona NOTE yake tangu aingie hapo hospital na mpaka alipokufa. kwa kweli mimi nimeamua na nitahakikisha nimefanya hivyo kwa kuanzisha harambee kwa wote HASA KINA MAMA/DADA. tushirikiane ili tuweze kujenga WOMAN CLINC'S .mimi nitaanza na £100.00. huu ndo uwezo wangu kwa sasa hivi pamoja na MY TIME" KWA MAELEZO ZAIDI nitawajulisha baada yakupata vyote ninavyovihitaji. NINGEPENDELEA MWENYEZI MUNGU AKITUJALIA TENA MIAKA 50 MINGINE KAMA HII .ANIKUTE NIMEWEZA KUWASAIDIA KINA MAMA /DADA KWA MAMBO MENGI SANA.HASA WA HUKO NYUMBANI .NIKIANZIA NA DAR ER SALAM . why ? kwasababu huko ndo DADA HUYU WINNIE KALINGA ALIYENISABABISHA MPAKA NIKAAMUA KUFANYA HIVI.KIFO CHAKE KILIKO FANYIKIA NA KUZIKWA. THEN MOSHI .KWASABABU HUKO NDO NIMETOKA.NIMEKULIA NA NITAKAPOKUFA KAMA SIJAOLEWA YES.NINGEPENDELEA KUZIKWA HUKO. THEN TUKIFUATIA MIKOA YOTEE. THAT IS MY WORK RIGHT NOW AND THAT IS WHAT I WANT FOR MY XMAS 2011 AND ALL XMAS'S.
 GOD BLESS ME AND GOD BLESS TANZANIA AND THE WORLD .
AMEN
 RUWA LUTARAME MBEE!!

No comments:

Post a Comment