MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Wednesday, 14 December 2011
* YOU BEEN SNAP* SAD SAD SAD NEWS > MSIBA LONDON >SWITZERLAND NA TANZANIA . TUNASIKITIKA KUTANGZA KIFO CHA NDUGU JOSEPH MSAWARO -KANJE" KILICHOTOKEA LEO 14-12-2011 DAR ES SALAM TANZANIA" MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWAKE MOSHI KILEMA IMI"
PICHANI NDO MY KAKA JOSEPH MSAWARO -KANJE" R.I.P. KWELI KIFO HAKINA HURUMA KABISA ,MWAKA JANA MY DAD.LEO MY EVERYTHING .MUNGU WANGU NI KWANINI WATU WEMA NDO HUWA WANAFARIKI ZAIDI " UWIIII ,KIFO CHAKE KIMENIGUSA SANA HE WAS MY EVERYTHING .NA KAACHA MKE NA WATOTO WATANO (5 KIDS)JAMANI NALIAAAAAAA" RUWA MANGI .UWIII"
* MCHANGO *
KUTOA TANGU KUWE SIYO UTAJIRI BALI NI MOYO " BASI CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUJITOLEA KITASAIDIA SANA" KWA MAMBO MENGI KUHUSU HUU MSIBA WA KAKA YETU ,BABA NA NGDUGU YETU MTANZANIA"
*LONDON *
UKITAKA PIA KUNIPA POLE NYUMBANI KWANGU KARIBU SANA.
TEL.07787471024. LYCA : 07405584555.
LIOYDS TSB BANK
MS FLORA LYIMO
ACCOUNT :21887968
SORT CODE:30-65-41
*SWITZERLAND*
UKITAKA KUFIKA KUTOA POLE WAKARIBISHWA SANA.
TEL:+41787681693
16 RUE JEAN ANTONIE
GAUTIER 12011 GENEVA.
*BANK*
ACCOUNT :439944.40W
IBAN-CH820024024043994440W
BIC-UBSWCHZ80A
R.I.P. KAKA ,BABA NA NDUGU MTANZANIA MPENDWA WETU KWA KWELI TULIKUPENDA LAKINI MUNGU KAKUPENDA ZAIDI.TUTAKUMISS SANA.UMETUACHIA MAJONZI YASIYO KAUKA KAMWE!
ASANTENI NYOTE NA MUNGU AWABARIKI SANA"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
R.I.P Joseph Kanje nilisoma na watoto wake pale Mkyashi Primary enzi hizo Veronika na wadogo zake alale mahala pema peponi.Alikuwa mtu wa watu jamani.
ReplyDeleteKweli kabisa 13:15 Anonyimous . NI MTU WA WATU MNO ,NA LEO SIAMINI ANATOKA DAR KWENDA MOSHI KIMAITI bila yeye mwenyewe kuendesha na xmas mazawadi kule Imi ..YANI PALE HOME KILEMA CHOTE PATAKUWA HAPATOSHI .....R.I.P. KAKA KANJE..kama tunavyokujua na jina lako la KANJE...UWIII...
ReplyDeleteNDUGU ZANGU WADAU ,TUMSIFUNI YESKRISTU NA TUAMINI KATIKA VIFO.... MIMI KWA KILE CHOCHOTE MTAKACHOJITOLEA HAPA ,NIKWAAJILI YA KUWASAIDIA WATOTO WA KAKA YANGU MPENDWA KAKA KANJE ..ALOWACHA BILA YEYE MWENYEWE KUWAPA (TENA)MAISHA YA MTANZANIA WA KILEO MWENYE KUFANYA KAZI KWA BIDII.WATOTO WATANO 5 KIDS. NITAFANYA SHEREHE YA KUSHEREKEA MIAKA YAKE YA UHAI WAKE HAPA DUNIANI MPAKA KIFO CHAKE MWAKA HUU 14-12-2011. MY GOD BLESS YOU NA NITAWAJULISHA NA VILE VLE MTAONA NILOYAFANYA KWA MICHANGO YENU KWA HII BLOG YENU YOU BEEN SNAP BLOG .NA VILE VILE KWENYE FACEBOOK.ASANTENI SANA ONES AGAIN .
ReplyDelete