KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 24 January 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG* SAD NEWS TENA KUTOKA TANZANIA .MBUNGE MWINGINE .MAREHEMU JEREMIAH SUMARI AZIKWA JANA KIJIJINI KWAKE AKHERI MKOANI ARUSHA"


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari kabla ya kwenda kuzika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha


Waombolezaji wakitremsha kaburini mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Jaeremiah Sumari katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Akheri, Arumemru, Januari 23, 2012.




Miriam Sumari, mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari akweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Akheri, Arumeru, Januari 23, 2012.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari baada ya mazishi yaliyofanyika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Jeremia Sumari baada ya mazishi yaliyofanyika kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimfariji mke wa Marehemu Mweshimiwa Jeremia Sumari, Bi. Miriam Sumari kabla ya mazishi ya marehumu sumari kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Marehemu Jeremiah Sumari katika mazishi ya mbunge huyo Akeri, Arumeru Januari 23, 2012.

(Picha na Owen Daudi na Ofisi ya Waziri Mkuu)

May his soul R.I.P

No comments:

Post a Comment