MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO SAY: R.I.P. DADA REGIA.ama kweli tulitoka UVUMBINI NA TUTARUDI UVUMBINI"
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema na kuongoza mamia ya waombolezaji wa mji wa Ifakara kwenye mazishi hayo jana ambapo pia viongozi mbali mbali walishiriki.Wengine pichani ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda (pili kulia),Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia),Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera (pili kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe, na kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe.
Rais Kikwete akiongea na Spika Anne Makinda. Pembeni yao ni Naibu Spika Job Ndugai na Mh Hawa Ghasia"
Viongozi wa CHADEMA msibani"
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema mjini Ifakara"
Vijana wa ulinzi wa CHADEMA wakithibiti umati wa waombolezaji"
Baadhi ya wabunge toka vyama mbalimbali wakiwa mazishini
Umati wa waombolezaji makaburini .
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa makaburini.
Mdogo wa marehemu"
Wanahabari wakirekodi tukio hilo"
Vilio na majonzi"
Pacha wa marehemu akibembelezwa"
Sehemu ya waombolezaji"
Kwaya ikiimba mapambio"
Wazazi wa marehemu.
Ibada ya mazishi ikiendelea.
Salamu za Shukrani toka kwa msemaji wa familia.
Wazazi wa Marehemu wakiweka udongo kaburini.
Raisi Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema aliezikwa leo Ifakara Mkoani Morogoro.
Spika Anne Makinda akiweka udongo kaburini.
Naibu Spika akiweka udongo kaburini.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiweka udongo kaburini.
Raisi Jakaya Kikwete akijiandaa kuweka shada la Maua kaburini wakati wa mazishi ya Marehemu Regia Mtema aliyoongoza mjini Ifakara mkoani Morogoro leo.
Raisi Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Jimbo la Morogoro aliefariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ruvu mkoani Pwani hivi karibuni .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akijiandaa kuweka shada ya maua kaburini
R.I.P Regia Mtema



























No comments:
Post a Comment