KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 24 January 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG* USINGIZI WA MBEGE AUJUAE NI MLEVI"" MWAKA KWA HUYU KIJANA HAUJAANZA VIBAYA KABISA!! JANUARY 2012"

The work of my CAMERA. BY MISS FB- Flora Bahati Lyimo" Hapa nilipokuwa na mpiga hii picha alikuwa hana habari kabisa , yani mpaka ikabidi meneja wa hii bar amuamshe na kumtoa nje ili pengine akipigwa na kaubaridi hiki cha Ulaya ..aisee..mbona MBEGE YOTE ITAMUISHA NA KUJIKUTA AKIANZA TENA. and yes " he did just that..alipokaa huko nje kidogo nilimuona akirudi ndani na moja kwa moja mpaka kwenye bar huku akiajiza Mbege nyingine" MBUTA NANGA!! nilisahau kumuuliza alikuwa kabila gani" NEXT TIME"

No comments:

Post a Comment