KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 3 February 2012

ICE BLACK MAGIC READING SAT 11TH FEB 2012. MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO .SAY: READING MPOOOOOO,,WALONDON TWAJAA...CANT WAIT"" AGAINNNNN.KUDADADEKII"



THIS WAS FAB..IBM -ICE BLACK MAGIC -UK  EVER !! .AND MISS FB-FASHION POLICE " ANAWAAMBIAJE....!!! ukiweza kubuni nitakupa £50. haya kazi kwenu wadau" MSHINDI NITAMUWEKA HAPA HAPA KWA "YOU BEEN SNAP BLOG"

6 comments:

  1. mbona kazi ipo,hiyo £50 ingenifaa kabisa ila sikuwepo nitajuaje...?

    ReplyDelete
  2. miss fb na lulu clara ,si mchezo ,ila miss fb usisahau huyo lulu clara na jestina george walivyokutenda kwa mabest wako jesica & erica unamoyo wa huruma sana miss fb ndo mana wengi tunakupenda. we love you and your blog .keep it up na usisikize maumbea ya wabongo.

    ReplyDelete
  3. wewe anonymous unaajuaje kama yeye ndio kamtenda au una wivu unaelekea kuwaona wamepiga picha pamoja utakufa kwa roho mbaya na usipoangalia utapata ukoma

    ReplyDelete
  4. next time please zungumzia MKOROGO maana hapo kuna mtu anatishaaa

    ReplyDelete
  5. Anonymous ,ulosema next time nizungumzie MKOROGO.hebu fafanua zaidi ,anayetisha hapa anatisha kwa lipi ?? kaka ni mimi unataka nianze kujikorogea au kuna alojikoroga ikashinda ya kwako ..au ndo unataka nikuambie kuhusu mikorogo aina zake ili ukajikorege..KWA KUSEMA KWELI SIWEZI KUZUNGUMZIA MAMBO YA MIKOROGO ,MAANA SIJAISOMEA..NA ZUNGUMZIA MAMBO YA FASHION STYLE SABABU NIMESOMEA AND IM A DESIGNER...but yah ..nipe UFAFANUZI ZAIDI,
    FANKS...MISS FB"

    ReplyDelete
  6. heee,,HAPO kuna vitu viwili nimekosea, kaka naimanisha KAMA NI MIMI... na fanks naimanisha THANKS...lol...

    ReplyDelete