KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 3 February 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG * MISS FB -FASHION POLICE .AZUNGUMZIA KUHUSU ACCESSORIES TODAY 03-02-2012" SOMA UPATE KUJUA NINI CHAKUAVOID KATIKA MAVAAZI YAKO"


"MISS FB -THE FASHION POLICE"pichani"
Leo naongelea kuhusu Accessories wanawake wengi sana tunapenda kuvaa nguo zetu tukizimalizia kwa mapambo ,yawe ya kwenye nguo zetu tiyari au la" na hizi ndizo baadhi ya vitu ambavyo vinatupa attention and can lead the eye to , or from the figure challenge.Accessories include more than jewellery , they are anything that captures ATTENTION"Scarves ,coloured buttons ,a bright splash of colour in a dark print , patch pockets on jeans ,a white collar emerging from a red sweater ,logos , motif and even name badges. All are embellishments added to gain attention. Na they are invitations to look ",kwa hiyo chunga unapo kutana navyo  au unapo vaa nguo zenye vitu hivi kwani vingine ni vikubwa na kusababisha hata mwili wako usionekane tena bali hayo mapambo au maongezeo nguoni"( accessories)  Kama una tumbo kubwa  do you really want to wear a wrap over top with a bulky tie at your waist ? jibu ni hapana" ,lakini wapo wengine huvaa hivyo and I hope now watagundua kwamba wanatakiwa kuepuka mikanda hiyo kwenye viuno vyao "au kama you have a large behind(wowowo) hutakiwi kuvaa hugh patch pockets sporting logos.na vile vile kuna wengi wetu huvaa .and i hope pia watagundua ni vyaku AVOID " 
Matumizi ya accessories .
(1) turn a garment or outfit into the current seasons look"
(2)Revive or update classics.
(3) Quickly change the attitude of an outfit.
(4) Add colour or life to neutral coloured garments.
(5) Focus attention where you want it
(6) Mwisho kabisa kuonekana kwenye umati ( group) of people au hata wapitanjia ,waendeshaji wa magari na hata wanaume kukuzimia" MBUTA NANGA!!
Anyway ni hayo tu kwa leo from me " keshoo tena Wadau tunapojaliwa tena siku kama ya leo " if una swali lolote niachie hapa na jibu nitakupa" or just call me. 07787471024.Email: flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment