MAMA HODARI HODARI ,OYEEE!!!
Jamani huyo Mama hivi ndivyo anavyokuja kutengeneza wateja wake hapa snap salon & accessories..kwani kweli nimeamini kuzaa ni balaaa "hapa ulaya kama huna wakukusaidia sijui itakuwaje aisee,,yani kumfungia mtoto mgongoni hivi na kufanya kazi zako ni balaa,i thinki hizo zimepitwa na wakati kumbe wapi.
No comments:
Post a Comment