FAB .MLIPENDEZA SANA MR & MRS!! NASUBIRIA KUONA SNAP YA HI FULL DRESS I LOVE THE DRESS SANA" |
Mlipendeza sana my dears na mavaazi yenu ..keep it up always. hivi ndivyo inatakikana ikiwa hamna Dress Code kwenye shughuli'z!!
THIS IS KWA WALE MLONISOMA VIBAYA!
Sijaimanisha kwamba hii harusi haijapendeza,ilipendeza sana mimi niliongelea juu ya dress code za harusini ,hivi mwakumbuka harusini kule home.TANZANIA.anyway kule kwetu uchagani .UPANDE WA BWANA HARUSI HUWA WANAVAA NGUO ZA RANGI ZAO NA UPANDE WA BIBI ARUSI WANAVAA NGUO ZA RANGI ZAO PIA..." kwa hiyo was just sayn .ALSO alonitumia baadhi ya picha nakuniambia nizifashion police'e NILIKUWA NAMJIBU KWAMBA HII HARUSI HAIKUWA NA DRESS CODE KWA HIYO SITOWEZA KUSEMA FULANI KAENDA KUCHAFUA SHUGHULI ZA WATU " NDO MAANA NIKASEMA WAMEPENDEZA NA WAMEVAA KIHARUSI ,BIG UP MY HAPPY PEOPLE!!
NA KUCHANGIANA VIJIMAWAZO SIYO MBAYA"ILA SIYO MAWAZO YA MATUSI..NOT IN HERE
" YOU BEEN SNAP BLOG "
STAY BLESS ALL NA TUPENDANE MY DEARS"
No comments:
Post a Comment