KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 21 August 2013

BY:FLORA LYIMO~ 'Q' AND 'A '' OVER PRAYING IN THE SHOP' YOUR FLORA LYIMO & MUSLIM LADY'S ON THE SHOP SOFA''(SHOPPERS) HERE IS WHAT THEY HAVE TO SAY 'MBUTA NANGA!!

 FLORA LYIMO MTANZANIA AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
So baada ya mgogoro na matusi kuzidi kurushwa over my wanted to know if is Okay  kwa Waislam au hata Dini yeyote kuingia Dukani kwa Mtu na kuanza kuswali kama huyo Mama pichani hapa ndani ya Duka alipowashangaza watu kwa yeye kuswali Dukani pale'' Kwa maana nami pamoja na wale wenye Biashara zao za Maduka zaidi ''Ni vizuri kujua what to do if happen to our Shop's''' and here is those Muslim Lady's (Shoppers )too Answers Flora Lyimo Question about Praying in the Shop''
 On the Sofa with Flora Lyimo in one of the Shop ndani ya Mtaa wa Mapesa'' (FLFP) Hi Lady's 'Speak and Understand English ? Yes '' May I ask You One Question Please'' (Ladys)Yes'' (FLFP) Ok 'Please take a Look at This Photo and Tell me what it is'' and what you think ? (Lady's)Hhahhahaaa wakaanza kucheka'' Is a Muslim Woman praying' bado wanacheka na kuongeleshana kikwao huku wakipokezana Sim kuona Picha ile''ya Mama akiswali Dukani'' (FLFP) So will you Pray in the Shop like that? (Ladys) Hahahahahhaaa,no not in the shop never to pray like this'' we pray in our Hotel or if the time to pray come we go back to our Hotel or find a place no one to see and pray there'' like this one'The big Answer is NO''(FLFP) Ok Lady's Thank you so Much and enjoy your Shopping''
 Hapa bado wanaongelea kuswali Dukani ''huku wakionekana wakicheka na kutumiana Picha ile baada ya kuipiga Picha'' Yani wenyewe wameshangazwa na kusema no'' not in the Shop'' Anyway 'Picha za chini tumewatembelea wengine Duka tofauti''
 Shopping zao ,I love them Bags''You know Your FLFP She Love Handbags kinoma right''

 Now We are in Duka Lingine'' Na kama mnavyo muona huyu Mama nae angeweza kuswali Dukani au Kujua if is Ok kuswali Dukani kama Yule Mama wa Juzi ambae ndie the talk of Miji Mikuu and Mitandaoni right now''
 Happy Muslim Shoppers wenyewe Pesa zao na wenyewe kujua Dini zao pia'' Na siyo kwamba tunaongelea kuhusu Dini hapa..swali letu kubwa ni kwamba JE''UNJE SWALI DUKANI  ??Wakati unafanya Shopping zako ?na huku Watu kibao wa kila aina wapo na wanataka kushopu pia''
 Wakitafuta Vipodozi ,Mwanamke kujipodoa Babuu eee'
Huku wakiendelea kujiulizana kuhusu kuswali Madukani '' Wengine hawakupenda kupigwa Picha Ila were happy to answer our question and to see the Photo of that Woman Praying in the Shop'' and their Answer was NO''NOT LIKE THIS''NOT IN THE SHOP NEVER'''

Hawa nao Walikuwa wametokea Dubai ''na tulipowauliza wakasema.No way ''We dont Pray  in the Shop like that ,baada ya kuona Picha 'wakashangaa na pia kuulizana na kusema She just wanted to Show Off'' This is not Good '' we pray anywhere we want but not in the shop''


 Your Flora Lyimo Fashion Police in the Shop akiendelea na kuuliza Swali lake kwa Ndugu zetu Waislam' kwani kuuliza siyo ujinga na swali langu siyo kwasababu siziheshim au hatuziheshim Iman na Dini za watu''la'' Tuna ziheshim na kuwaheshim sana na Pia tunawapenda mno'' the thing is hili ni Swali ambalo ni lakujiuliza na kukaa tukijipanga kwani limenitokea Ones na juzi in My Life sijawahi kuona na I have work in the Big Shops na kufanya Shopping zangu kwenye Maduka makubwa ya Miji Mikuu na siyo hata Maduka ya Mikoa mikoa ya Kawaida'' and I never see anyone Praying in the Shop like this before never'' so why not Ask if is Ok to Pray in the Shops?? and why badala yakujibiwa waanze kujeuza kibao na kusema ni kuhusu kutokuziheshim Dini na Imani ya Mtu na hili na lile''? Yani Mtu usiulize kitu upate kujua'' ? what Wrong with that Question ? and Wengi walonijibu kwa matusi na kujeuza kibao kuhusu Dini na Imani  kwa kweli I dont think are Shoppers tena Miji mikubwa kama London Oxford Street ukiwauliza when mara ya Mwisho walikuja na kushop hapa watakujibu hawakumbuki'' so is not bad kwao kuanza kunitukana na kunitishia kuniuwa''eti kisa nimeuliza WAISLAM MMEKUWAJE ? MNAWEZAKUSWALI HIVI MADUKANI ? Kwani hapo nimewatukana? And that is why Nimeona ni Vizuri kuwapotezea na kuwauliza other Muslim Shoppers in the Shops' Basi na kama nimewatukana naomba Msamaha wa Buree'''Maana na wapenda na Nisingependa kuwatukana kwa sababu a Muislam Woman ameswali Dukani '' No not kwa sababu hiyo at all''ni kwasababu ya Biashara' Akija kwangu kusali Nitamsimamisha na kumuambia No'' siyo Pahali pake hapa na kumpeleka Changing Room ikiwa ipo ''ikiwa haipo Pole zake '' Duka ni Duka na Kanisani ni kanisani na Msikiti ni Msikiti'' and she can see this is clear not a Church or Temple'Ndiyo maana hivyo vitu vikapewa majina'' So People Dont Put this in to anything to do with DINI AU IMAN'' NI HESHIMA ZA KUJIHESHIM NA PIA KUHESHIM MAKAZI YA WATU'' NOTHING TO DO WITH ANY RELIGIONS'' ANY 'NOT WELCOME IN THE SHOP AND START TO PRAY OR DO ANYTHING THAT MAKE SHOPPERS STOP SHOPPING AND STARE AT THEM'' Mwanzo kufanya hivyo Mtu unapoteza wateja na Pesa ''Hivi mnajua vile Biashara zimekuwa Ngum now days na Kazi pia hakuna..na kuna wengi wetu ambao hatupendi kukaa majumbani just kwasababu Malkia kesha lipa kila kitu ,Ulipiwe Nyumba,Wanao kila kitu na Pesa ya kujilisha na kuwalisha wanao huku Shopping hufanyi alafu unakuja kusema this is Ok 'is not Ok maana you dont work and have a Shop right now nakuona jinsi ilivyongum hata kuuza £500 par day'' na wenye maduka makubwa wanatakiwa over £20,000 a day'' think about that''sasa wewe uwaruhusu Watu waje kusimamisha Biashara yako kwa wao kuswali au kuomba au kufanya anything in the shop more than Shopping'' So stay huko huko na matusi yenu sisi bado tutaendelea kuuliza Maswali yanayo husika na Biashara zetu na Mimi mwenyewe nikiwa kama Mrusha Habari za hapa na pale za Ukwee na vile vile kujihusisha na Biashara zangu hasa kuhusu Vile yakufanya kazi na Watu mbali mbali wakiwa na Dini zao Mbali mbali au hata bila Dini kabisa'' That is why I find out is INTERESTING TO ME''' PEACE EVERYONE!!!

 The Woman akiswali Dukani 'Big Shop in London which she has been come the Talk of  Your Flora Lyimo Fashion Police right now''
 Huku wenzake wakionekana wakimshangaa na wengi kupiga Picha zao na kuanza kucheka sana''Kwani Hata wao pamoja na kuwa Waislam pia inaonyesha wazi kwamba nikitu kijeni kwao pia''


Tumeuliza Wengi sana by now wote wamesema NO 'NOT TO PRAY IN THE SHOP LIKE THIS '' HATA PAMOJA NA KWAMBA 'WAISLAM WANARUHUSIWA KUSWALI POPOTE'' BUT THEY HAVE TO BE CAREFULL WHEN IT COME TO POPOTE'' SIYO POPOTE AMBAPO UNATIZAMWA NA WANAUME NA PIA KWENYE BIASHARA ZA WATU''NA PACHAFU NA MENGINE MENGI AMBAYO WAISLAM WATAKUAMBIA WENYEWE NA WAISLAM AMBAO WANAUFUATA USLAM WAO NA PIA THE SHOPPERS''
Habari ndo hiyo my dears''hata nyie chukueni picha kawaulizeni wanaofanya shopping madukani usikie watakuambia nini wewe mwenyewe'' nothing to hide in here''is just we nedd to know if is ok to Pray like this in the Shop's''

4 comments:

 1. Flora Lyimo you are so brave lady ..yani the world need you kwa kweli this is not a joke and the q that need answer ,,yet you went your way and find the answer by asking other Muslim woman who also are shopping'' weldone indeed''

  ReplyDelete
 2. jamani da flora upo juu kwa kweli hujakosea kuuliza hivyo ndo yamekuwa yahaya......uwiii dunia inakwenda wapi ,kwani wao ndo kina nani wasiulizwe kama wamekosea si waseme yes yaishe....love you flora lyimo fashion police..you inspire me so much kwa kweli i wish to met you one day ''

  ReplyDelete
 3. mbuta nanga,,yani hii topic yako flora ni nzuri sana na kwa kweli niyakuzingatia,,mimi hata angekuja dukani kwangu nisingemruhusu na hawatakaa waruhusiwe kuswali madukani hivi...who do they think they are ? kila mtu ana iman na dini yake but siyo kuzileta madukani angekwenda barabarani basi ikiwa wameruhusiwa kuswali popote,,mbona asiende hata machooni basi??...wapumbavu kweli Flora wasikutishie maisha hawa watu kabisa yani nimemind kusema kweli nilivyoona wanavyokutukana na kukutishia''wajipange upya ''dunia siyo yao ''na hao wenzao ulowauliza wameshawashuhudia kwamba wao ni mamburulas wale wote walokutukana na kukutishia ni mamburulas...

  ReplyDelete
 4. kuuliza siyo mbaya ila ulivyouliza swali ndo ulipochemka, hapa juu umefafanua kidogo unaeleweka ila kule fabebook uliandika eti waislam mmekuwaje kama sikosei haipendezi mimi mwenyewe ni mkristo ila sikupendeza kabisa na ulivyouliza swali. kuuliza si ujinga ila siku nyingine jiandae jinsi ya kuuliza swali.

  ReplyDelete