www.missfbknitwearlyimo.blogspot.com HAMJAMBO MY DEARS!!
NAONA SIKUKUU YA KINA MAMA ULIMWENGUNI YAWADIA. NAMI NAPENDA KUWAPONGEZA KINA MAMA WOOOTE....SANA SANA AKIWAPO MAMA YANGU KIPENZI AUGUSTINA LYIMO ALONIFUNDISHA MENGI KULIKONI HASA KNITTING & CROCHET " AMBAYO NDO NAPENDE SANAA NA VILE VILE KUJIPATIA SHIBE YANGU .SASA BASI ,KAMA UNGEPENDA KUJA KUJIUNGA NA MIMI .KINA MAMA/DADA HASWA.KARIBUNI SANA NA NI BURE .ILI NANYI MPATE KUWAFUNDISHENI WATOTO WENU " JUST LOOK AT ME HAPO.THAT IS WHAT MY MAMA TAUGHT ME"
Kwa kweli hakuna kitu kizuri kama kuweza kubuni kitu chako na kuweza kukitengeneza,kukivaa na vile vile kukiuza na kikanunuliwa tena na watu ambao hata huwafaham kabisa" na vile vile kukupunguzia mawazo hata kama mme /mpenzi wako kakuacha wewe kaa china anza kuknit au crochet sikiliza mziki wako unaoupenda yani utamsahauje!! anyway huu ni ushauri wangu mdogo tu kwa sikuku kuu ya leo ya kina mama ulimwenguni 2012. GOD BLESS YOU ALL YOU MAMA'Z DUNIANI!!
UKITAKA KUONGEA NA MIMI TELL: 07787471024 EMAIL: flo1974@btinternet.com
OR Karibu SNAP HAIR SALON & ACCESSORIES" IN DALSTON LONDON
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK

KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Wednesday, 7 March 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment