KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 18 April 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG *KIMAANDIKO ZAIDI HAPPY 25th ANNIVERSARY MY DEAR TUNU BARAKA.MUNGU AWAZIDISHIENI MIAKA MINGI NA YENYE KUJWAZWA NA FURAHA TELE!


  • Losario Kodbar ahoooo mkwe wangu hongereni sana.nawaombea mfike miaka mia pamoja.....mlipofika sio mchezo.
  •  
  • Tunu Baraka asante mkwe ahoo mie mwenyewe nimeshangaa;
  • Shemmy Kabunga Hongera sana wa kwetu!mwenyezi mungu akuongezeeni mingine mingi inshallah!
  •  
  • Losario Kodbar nakuambia sio mchezo mkwe sijui na mie nitafika huko mana hiki kizazi chetu cha nyoka....chatu kama sio kobra;
  • Sekela Mwaitete Happy Anniversary aunt;
  • Rehema Ndimbo- Simba hongreni jamani, Mungu awazidishie.
  • Tunu Baraka ameena kwa sote hamna kizazi cha nyoka ni full kuvumiliana;
  • Yussuf Kakolwa Aunt si haba mungu atawajaalia mingine zaidi na zaidi;
  • Sabrina Almas Congratulations on your 25th wedding annivesary i love you aunt God bless you!
    
  • Simwanza Mrisho hongera aunt;
  • Asia Katunda Congrats Aunty, Mash'Allah
    
  • Alliyah Jaheim Hongereni mungu awazidishie mzidi zaidi ya hapo;
    
  • Fatma Mohamed Hongereni sana Aunt and Uncle. M/mungu awazidishie moyo wa upendo kwa kila jambo. Ameen!
    
  • Mariam Mungula Mashallah Alhamdullillah hongereni Mnatupa na sie mfano wa kuigwa.
 • No comments:

  Post a Comment